Kampuni gani hutengeneza betri imara za Magari madogo ukiachana na Cloride exide?

sababu ni ipi,kuweka maunga unga mkuu?
 
kuna duka wameniambia laki na thelasini,na waranty mwaka 1.
 
betry ya gari yangu n50,nimemwaga maji yote,nikaweka maji makali upya na kuichaji,baada ya siku 2 tu,haiwezi hata kupiga start kwe nye noah,najipanga ninunue betri mpya tu,ingawa kampuni nzuri sizifahamu...
Ulikosea Ku mwaga Maji ww ungeongezea ktk vyumba vulivyoppungua. Ulipomwaga ulimwaga na cell ndio ukaliua.
 
Hata mie nilitaka nimshauri Vatra , ila ni betri ghali sana .
Kama nguvu hana ajaribu hata betri za india kama Amaron.
 
Nunua Varta pale superdoll. Ni betri ya kijerumani na hudumu zaid ya miaka 3/4. Mie ndo betri nazotumia na kwa kweli nimezikubali sana.
 
kuna mnyama mkali anaitwa puma calcium battery cjaona akitajwa hapo! Mkolea huyo
 
We ulinunua sh ngapi?
Maana nina IST hapa inanitia aibi aiseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…