Ivi mtu anaweza akaunga hiyo betry kwenye Solar na ikaendelea kudumu km kawaidaNunua Varta pale superdoll. Ni betri ya kijerumani na hudumu zaid ya miaka 3/4. Mie ndo betri nazotumia na kwa kweli nimezikubali sana.
Kwanza gari ndogo, kutumia betri za maji, inaweza sababisha uharibifu wa gari, maana gari ndogo betri inakaa karibu na Engine.Betri za kuweka maji achana nazo. Nunua maintenance free. Kwa wale wenye gari za diesel za betri mbili. moja ikifa ondoa zote weka mpya.
Juzi ndio nimefanya replacement ya battery ambayo nilinunua 2019-2022! Hili nilinunua la kikorea la kuitwa Globatt Gold! Ilikuwa ni 150K.We ulinunua sh ngapi?
Maana nina IST hapa inanitia aibi aiseee.
hizo za Mwaka mmoja unarudi dukani sio battery π π πNunueni za nyumbani RHINO made in Tanzania.
Ninayo kwenye gari mwaka na nusu sasa....au nilibahatisha...haijawahi nisumbua.hizo za Mwaka mmoja unarudi dukani sio battery π π π
Inategemeana na umefunga battery kwenye engine capacity gani. Mimi nimefunga 2018 Spark battery N50 kwenye Engine capacity ya 1600 mpaka leo inadunda tu. Mara nyingi gari yangu ikifanyiwa service nami huwa nafanyia service battery. Pembeni mwa battery kuna matundu mawili, yaoe matundu hakikisha hayazibwi na vumbi/matope, maana yale ndiyo pua ya battery inayosaidia kupumulia. Leo nipo nayo nadunda tu.Anafanya masihara huyo [emoji28]!!!
The best batteries ikivumilia sana ni 2 good years before it starts to be problematic! Mie natumia MaxxBat ni la Kikorea liko bomba tu.
Nilinunua mwaka juzi nikapewa warranty ya mwaka mpaka sasa linapiga kazi vizuri tu!
Siyo kweli bana, battery za maji zina vifuniko ambavyo battery haiwezi kuvuja.Kwanza gari ndogo, kutumia betri za maji, inaweza sababisha uharibifu wa gari, maana gari ndogo betri inakaa karibu na Engine.
Hongera sana mzee babaInategemeana na umefunga battery kwenye engine capacity gani. Mimi nimefunga 2018 Spark battery N50 kwenye Engine capacity ya 1600 mpaka leo inadunda tu. Mara nyingi gari yangu ikifanyiwa service nami huwa nafanyia service battery. Pembeni mwa battery kuna matundu mawili, yaoe matundu hakikisha hayazibwi na vumbi/matope, maana yale ndiyo pua ya battery inayosaidia kupumulia. Leo nipo nayo nadunda tu.
Tunahitaji ujuzi zaidi, ila sisi hujichukulia tu battery yoyote.
Nilielekezwa na kijana wa Exide vizuri, nikamwelewa baada ya kufunga sikuwa na shaka yoyote mpaka leo battery iko safi kabisa toka 2018 miaka minne naingia wa tano (Inshallah) wiki ijayo.