Kampuni gani nzuri ya mabasi ya kwenda sehemu hizi?

Kampuni gani nzuri ya mabasi ya kwenda sehemu hizi?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Mpanda au Katavi, tushirikishane kampuni gani ya basi zuri la kwenda mikoa/wilaya hizo kutokea mkoa wa Dar es Salaam.

Natanguliza shukrani.
 
Akitokea wa Dar - Lushoto tujulishane. Huku kuna Shambalai, Bembea, Vuga line, nk. Haya ndiyo First Class kwa njia ya huku.

Mengine yanajikongoja.
 
Kwa moja kwa moja Panda Majinja utapitia Manyoni ,Tabora to Katavi
Kwa njia Sumbawanga Ila utalala njiani panda Majinja ama New force
 
Back
Top Bottom