BilioneaPATIGOO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 12,320 Reaction score 11,327 Jan 19, 2022 #1 Mpanda au Katavi, tushirikishane kampuni gani ya basi zuri la kwenda mikoa/wilaya hizo kutokea mkoa wa Dar es Salaam. Natanguliza shukrani.
Mpanda au Katavi, tushirikishane kampuni gani ya basi zuri la kwenda mikoa/wilaya hizo kutokea mkoa wa Dar es Salaam. Natanguliza shukrani.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jan 19, 2022 #2 Akitokea wa Dar - Lushoto tujulishane. Huku kuna Shambalai, Bembea, Vuga line, nk. Haya ndiyo First Class kwa njia ya huku. Mengine yanajikongoja.
Akitokea wa Dar - Lushoto tujulishane. Huku kuna Shambalai, Bembea, Vuga line, nk. Haya ndiyo First Class kwa njia ya huku. Mengine yanajikongoja.
Ugumu wangu JF-Expert Member Joined May 6, 2021 Posts 1,685 Reaction score 3,552 Jan 19, 2022 #3 Kwa moja kwa moja Panda Majinja utapitia Manyoni ,Tabora to Katavi Kwa njia Sumbawanga Ila utalala njiani panda Majinja ama New force
Kwa moja kwa moja Panda Majinja utapitia Manyoni ,Tabora to Katavi Kwa njia Sumbawanga Ila utalala njiani panda Majinja ama New force
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Jan 19, 2022 #4 Panda new force
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Jan 19, 2022 #5 BilioneaPATIGOO said: ...Mpanda au Katavi, tushirikishane kampuni gani ya basi zuri la kwenda mikoa/wilaya hizo kutokea mkoa wa Dar es Salaam. Natanguliza shukrani. Click to expand... Majinja kupitia Tabora
BilioneaPATIGOO said: ...Mpanda au Katavi, tushirikishane kampuni gani ya basi zuri la kwenda mikoa/wilaya hizo kutokea mkoa wa Dar es Salaam. Natanguliza shukrani. Click to expand... Majinja kupitia Tabora
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 19, 2022 #6 Ngoja waje kukupa muongozo...