Kampuni gani nzuri ya tiles kati ya hizi?

Kampuni gani nzuri ya tiles kati ya hizi?

Nasikia Twiford wapo vizuri wana store maeneo ya shekilango ukipata nafasi pitia usafishe macho
 
Fact mkuu....kama una vihela vyako chukua kampuni za Spain au Turkey au Italy..au hata India

China tupa kule
Kuna showroom inaitwa ABC ceramics wapo Keko wanauza tiles za India nao niliona wapo vizuri na bei zao sio mbaya sana unachofanya unalinganisha na bei za twiford na za India ukiona margin ni ndogo unajitoa mhanga
 
Binafsi Twyford ni Bora kuliko Goodwill.
Mafundi wanadai Goodwill hazilingani--unahitaji fundi mzuri sana
Pia choice ya rangi na size ni chache.
Kuna kampuni ya nchi jirani inaitwa SAJ tiles---wana quality bomba sana kama ya Spanish---kwa bei ya chini kidogo--ukienda BULK utajionea.
Pamoja na tiles za India--kwa bei nafuu unapata tiles za sebulenii nzuri tu--hizi twyfor ni chumbani na bafuni.
 
Back
Top Bottom