Jayfee
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 325
- 1,069
China almost tiles zao aina zote wanazalisha apa nchini sema kuna baadhi wanatoa china..kama tiles nyeusi ndo zinatok china sanasanaNieambiwa kuna tiles za China ni nzuri, zinafahamika kwa wauzaji kama CHINA GRADE ONE TILES (sina uhakika na jina hili kama ndilo rasmi), kwa anayefahmu zinapouzwa au ABC zake tafadhali naomba anijuze.