Kampuni Gani Waaminifu kuagiza Gari

Kampuni Gani Waaminifu kuagiza Gari

Kama mada inavyojieleza ni kampuni gani nzuri, waaminifu, timely, kwenye kuagiza gari. Maana siku hizi kuna makampuni mengi, lakini tatizo linakuja wengine ni matapeli, wengine ni majizi, wengine utaagiza Fuso unaletewa Canter, wengine gari inakuja vitu vimechomolewa, wengine watakuambia hiyo gari ilishachukuliwa japokuwa wamekutumia invoice na ukalipa kwa wakati. Kwa sahivi kuna makampuni mengi kwa mfano BEFOWARD, SBT JAPAN, CARJUCTION,TRADECAR VIEW, TRUST JAPANIES VEHICLES, n.k
So kumekuwepo na matatizo mbalimbali kadha wa kadha kwenye uagizaji wa magari kutoka kwenye makampuni mbalimbali. Kwahiyo tushirikiane kwenye experience kuhusiana na kampuni ambazo wamekuwa waamifu kwa wakati, mali, pamoja na changamoto tulizopata kwenye uagizaji wa magari na kadhalika.
Kupeana experience itawasidia wengine kuepuka matatizo yanayoweza kujitokeza
Karibuni
Kampuni ambazo wana magari ya uhakika na kwa uzoefu wangu ni autorec, trust, iaa na ibc makampuni haya ni waaminifu, na magari yao ni recondition yaani vilivyo vibovu hutolewa na kuwekwa vipya. Ubaya wao ni kuwa magari yao ni gharama na unaweza tafuta gari kwenye web zao ukalikosa! Uzuri wa sbt na befoward wana magari mengi mnooo utashindwa mwenyewe na bei zao cheap ila zina ubora wa kawaida sana na sometime ubora wa chini na uaminifu sio kwa asilimia kubwa sometime ni waongo balaaaaa! mfano befoward sometime wanaweza kukuletea gari tofauti na lile uliloloona kwenye picha! ingawa jina ni lile lile na odometer zao huwa zinashushwa km!! kama una pesa ya kutosha agizia autorec/trust hata kama hawana gari unalolitaka waambie wakutafutie maana wana hii huduma pia.
 
huwezi kununua gari mpya yani mileage ni 0km kwa hizo kampuni?
 
Ukiona kampuni inayouza magari yake yote ni ķms chache sana mfano under 70,000 kaa chonjo na hiyo kampuni ujuwe sio waaminifu na kinyume chake pia, yaani ukiona kampuni yenye magari yao mengine yana kms 250,000+ ujue hao ni wakweli na wana uaminifu kwa kiasi fulani
 
Mkuu ukeongea ukweli be forward ni wa kweli nimenunua gari 3 na zote ni nzima ukiibiwa ni wewe umetaka fuata taratibu zote za uagizwaji huwezi kuibiwa.
 
Nina experience mbaya na autocom..Yan gari ilikuja ishaanza Kula mafuta kuliko kawaida
kwani mkuu ulinunua gari ya aina gani, ingekuwa gari imegongwa hapo sawa au ina damage, kuna gari za bei rahisi sana inawezekana uliuziwa na staff wa japan direct pia, wale hukuuzia tuu gari , but ikiwa ulidili na local staff na ukapata gari inakula mafuta sana ni bahati mbaya sana , maana huwa tunajaribu kumpa mteja gari nzuri hasa kwa watanzania wenzetu.
otherwise pole sana ,
 
Jaribu Real Car Japan, binafsi nimeona wana gari zenye low mileage halafu kwa bei nzuri sana tofauti na hao kina beforward gari kwao unakuta limekula kms laki na upuuzi ndio bei inakuwa ndogo.
[emoji106]
 
SBT Japan wazuri mkuu, watumie.

Kwa huduma ya Uwakala (Clearing & Forwarding Agent) utawasiliana nasi;

S.A Link Traders Ltd.
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbour View),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD

Karibuni Sana.

Kama mada inavyojieleza ni kampuni gani nzuri, waaminifu, timely, kwenye kuagiza gari. Maana siku hizi kuna makampuni mengi, lakini tatizo linakuja wengine ni matapeli, wengine ni majizi, wengine utaagiza Fuso unaletewa Canter, wengine gari inakuja vitu vimechomolewa, wengine watakuambia hiyo gari ilishachukuliwa japokuwa wamekutumia invoice na ukalipa kwa wakati. Kwa sahivi kuna makampuni mengi kwa mfano BEFOWARD, SBT JAPAN, CARJUCTION,TRADECAR VIEW, TRUST JAPANIES VEHICLES, n.k
So kumekuwepo na matatizo mbalimbali kadha wa kadha kwenye uagizaji wa magari kutoka kwenye makampuni mbalimbali. Kwahiyo tushirikiane kwenye experience kuhusiana na kampuni ambazo wamekuwa waamifu kwa wakati, mali, pamoja na changamoto tulizopata kwenye uagizaji wa magari na kadhalika.
Kupeana experience itawasidia wengine kuepuka matatizo yanayoweza kujitokeza
Karibuni
 
SBT Japan wazuri mkuu, watumie.

Kwa huduma ya Uwakala (Clearing & Forwarding Agent) utawasiliana nasi;

S.A Link Traders Ltd.
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbour View),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD

Karibuni Sana.

Kama mada inavyojieleza ni kampuni gani nzuri, waaminifu, timely, kwenye kuagiza gari. Maana siku hizi kuna makampuni mengi, lakini tatizo linakuja wengine ni matapeli, wengine ni majizi, wengine utaagiza Fuso unaletewa Canter, wengine gari inakuja vitu vimechomolewa, wengine watakuambia hiyo gari ilishachukuliwa japokuwa wamekutumia invoice na ukalipa kwa wakati. Kwa sahivi kuna makampuni mengi kwa mfano BEFOWARD, SBT JAPAN, CARJUCTION,TRADECAR VIEW, TRUST JAPANIES VEHICLES, n.k
So kumekuwepo na matatizo mbalimbali kadha wa kadha kwenye uagizaji wa magari kutoka kwenye makampuni mbalimbali. Kwahiyo tushirikiane kwenye experience kuhusiana na kampuni ambazo wamekuwa waamifu kwa wakati, mali, pamoja na changamoto tulizopata kwenye uagizaji wa magari na kadhalika.
Kupeana experience itawasidia wengine kuepuka matatizo yanayoweza kujitokeza
Karibuni
 
kwani mkuu ulinunua gari ya aina gani, ingekuwa gari imegongwa hapo sawa au ina damage, kuna gari za bei rahisi sana inawezekana uliuziwa na staff wa japan direct pia, wale hukuuzia tuu gari , but ikiwa ulidili na local staff na ukapata gari inakula mafuta sana ni bahati mbaya sana , maana huwa tunajaribu kumpa mteja gari nzuri hasa kwa watanzania wenzetu.
otherwise pole sana ,
Naona mkuu unatetea ugali hapa! ila mnunuaji naye angesema amenunua gari toka autocom likiwa limetembea km ngapi? kingine mkuu magari yenu ni reconditioned (yaani vitu vibovu huwa mnatoa kwenye gari na kuweka vipya) au au mnamuuzia mteja kama mlivyonunua kwenye mnada? na je inspection huwa mnatumia kampuni gani i.e. east africa automobile?
 
Nina experience mbaya na autocom..Yan gari ilikuja ishaanza Kula mafuta kuliko kawaida
Mkuu hebu funguka zaidi utusaidie wengi tusije ingia chaka buree na hawa jamaa wa autocom, je gari yako ulinunua ikiwa imetembea km ngapi? na je uliwauliza kama wamelifanyia marekebisho hilo gari baada ya kulinunua kwa maana ya kwamba vitu vibovu wametoa na kuweka vipya? hukuuliza na hivyo wao walikuuzia kama walivyolinunua kwenye mnada? na je kwenye ukaguzi autocom walitumia kampuni gani east africa automobile au? Mkuu naomba unijibu maswali haya maana nami nataka nunua gari na kuna mtu aliniambia jamaa wazuri sasa nawe ndo umenifungua macho hapa dah umenistua!!
 
Naona mkuu unatetea ugali hapa! ila mnunuaji naye angesema amenunua gari toka autocom likiwa limetembea km ngapi? kingine mkuu magari yenu ni reconditioned (yaani vitu vibovu huwa mnatoa kwenye gari na kuweka vipya) au au mnamuuzia mteja kama mlivyonunua kwenye mnada? na je inspection huwa mnatumia kampuni gani i.e. east africa automobile?
kanunua gari inakula mafuta vibaya, labda angeelezea inakula vip hayo mafuta , maana unaweza kuta amenunua gari yenye cc 2400, na huku alitaka cc1500, also ikiwa utanunua gari ya bei ndogo kabisa , means yenye auction grade ya chini, yes kuna baadhi ya vitu vinaweza visiwe sawa , ukizingatia hii ni used car na sio brandnew.
 
Ok inspection za magari yenu huwa mnatumia kampuni gani na je grade zenu za magari na zipi na maelezo yake ni yapi? yaani kila grade ina maana gani hasa?
 
Ingine haichoki kwa mileage, nilikuwa na mawazo kama yako before ila mwaka 2015 nilinunua harrier ilikuwa na km 200k. Nakuambia ile gari watu walikuwa wanaigombania kwanza mafuta inanususa tu. Niliwahi badili stabilezer link moja tu tena ni dogo ndo aliiua lakni hadi leo ina km 280 huwez amini. Gari ni matunzo tu hizo low kms nyingi zinashushwa gari ya mwaka 98 eti ina km 20,000 huo sio uongo ni nini?
Kweli boss. Jamaa wameshawajulia waafrika. Ni bora kuchukua gari umayoipenda bila kujali kms
 
Wengi wetu Watanzania hatuna ushauri mzuri kuhusu magari used NJE. Kuna mambo mengi sana tunapaswa kufahamishwa au kuelimishwa...tangu nimeanza biashara ya kuagiza magari kwa niaba ya wateja, nimepitia mitandao au wauzaji wengi sana wa Japan, South Africa na UK. Nipo SBT , pia Beforward nimefanya nao....kuagiza magari NJE kunahitaji msaada mzuri kwa wazoefu na wabobezi ukiacha wauzaji wenyewe hasa wale wa ONLINE...KILA KAMPUNI INA ADVANTAGE NA DISADVANTAGE ZAKE...Ila mhimu wewe mnunuzi kujua hitaji lako...NDO MAANA UKIPATA WATU WA KUWEZA KUSEARCH MITANDAO NA MAKAMPUNI MENGI ZAIDI ITAKUWA HERI, MTASHAURIANA VEMA ..NAAMINI KILA MUUZAJI/MASAMBAZAJI ANA GARI FULANI...ILA kuna mambo mengi yakujua zaidi ya kujua Mileage na CC....mfano ishu ya ya grade ya gari...gari inaweza ikawa ina km 220,000 halafu ni grade 4 kwasababu gari imefanyiwa RA...Repair and Accessories...hivyo unakuta gari iko kiwango kizuri hata kama mileage iko juu. Pia kuna aina ya gari hasa SUV, vans nk ambazo huwa za masafa marefu hivyo KM huwa nyingi kutokana na hizo safari...na wao ni waaminifu hawashushi kms, wanajua sometimes Mileage is nothing katika kuchagua gari...zikija bongo wahuni wanarekebisha odometer inasoma low mileage....sisemi kila gari yenye mileage kubwa ni nzuri...ila inatakiwa uchunguzi wa kina wa mambo mengine. Mfano inatokea gari aina moja ikawa na mileage kubwa na nyingine ndogo na bado yenye mileage kubwa ikawa gharama kubwa.
Kuna mengi ya kutaka kujua kabla hujaagiza gari kampuni YOYOTE....iwe inasifika au haisifiki. Pia tufahamu sio wakati wote mtu akaagiza gari ya nje ikawa 100% perfect. Jambo la msingi hakikisha gari inakuwa INSPECTED NA UPEWE CERTIFICATE OF INSPECTION ile inatambuliwa na EAST AFRICA STANDARDS...document hii itakufikia kabla ya gari ili nawe ujiridhishe kipi kimekaguliwa na kina hali gani..(Wengi wetu tunadharau au hatujali kujua nini kipo katika documents hizo). NASHAURI fanya utafiti kabla ya kuagiza gari yako..na vema pia omba wasaidizi katika eneo hili ili uepuke jakamoyo katika uagizaji gari online. Yako mengi sana, kwa wageni wa kuagiza magari nje huyapata na wakati mwingine wakichemka au kupata matatizo katika mchakato huo huleta ushuhuda mbaya...au kaagiza kampuni fulani na hakusaidiwa vizuri akajikuta anapata gari asioipenda naye atakuja humu atatotoa ushuhuda mbaya....(kumbuka sokoni gari ni bidhaa..huwa ziko nyingi zenye standards tofauti tofauti..unakuta bei iko chini ndo unaamua kununua usijue kwanini ni bei ndogo).....ASANTE
 
Back
Top Bottom