Kampuni gani ya kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

Kampuni gani ya kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

KeXMO

Member
Joined
Jul 25, 2021
Posts
20
Reaction score
0
Habari wakuu!

Kama title inavojieleza hapo juu napenda kufahamu ni kampuni gani ambazo zinajihusisha na kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

Na kama zipo wanatumia njia gani ya anga ama?
 
Local companies nyingi ni China.

Tumia international companies DHL, CDS, ARAMEX , pia POSTA
 
Inategemea na aina ya bidhaa unayotaka kusafirisha hebu sema nikusaidie
 
Mkuu anataka kusafirisha Magozi kutoka Pakistan
 
Mzigo gani??
Chakula,dawa,mavazi ama
 
Back
Top Bottom