Kampuni inayohusika na 'wrong parking' iangaliwe vizuri

Kampuni inayohusika na 'wrong parking' iangaliwe vizuri

Hivi hawawezi kupewa jukumu la kupambana na pikipiki zisizo na sifa mjini kama helment,viatu.uendeshaji mbaya (ushahidi uwe ni camera).
 
Aisee hawa jamaa rushwa yao kubwa. Na wanakomalia na kama hutaki wanakupa tu control number uhangaike nayo
Nadhani ni bora wqdhibitiwe kwa kutopokea hela tslimu.mapato ya umma yanapotea sana.wafanye kama trafic.unajua faini za barabarani haziumi sana kama zile za zamanj za kwenye kitabu,notification
 
Back
Top Bottom