Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wadau, mimi hayo ndio maswali yangu na anaeweza kutoa majibu atusaidie na ikiwezekana atoe na nyaraka kusapoti majibu yake.
Kama ana document za kutangaza tender kama vile gazeti,n.k atuweke hapa na nyaraka zingine zote muhumu katika utangazaji na utoaji wa tender.
Nasikia hii kampuni ni ya wazawa(sijui ukweli wa hili jambo) ila kama ni kweli basi si vibaya tukawajua maana watakuwa wamesaidia fedha nyingi isiende nje ya nchi lakini ni lazima tujue kama sheria na taratibu zimezingatiwa katika kuwapatia tender hiyo.
Hata kama itakuwa ni kampuni ya kigeni nayo tungependa kujua namna ilivyopewa tender/kandarasi husika.
Ni hayo tu.
Update:
Kuna wachangiaji wametujulisha kuwa tender ilitangazwa na habari hiyo inapatikana katika huu uzi hapa chini:
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato: Serikali yatangaza tenda