Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Wadau, mimi hayo ndio maswali yangu na anaeweza kutoa majibu atusaidie na ikiwezekana atoe na nyaraka kusapoti majibu yake.

Kama ana document za kutangaza tender kama vile gazeti,n.k atuweke hapa na nyaraka zingine zote muhumu katika utangazaji na utoaji wa tender.

Nasikia hii kampuni ni ya wazawa(sijui ukweli wa hili jambo) ila kama ni kweli basi si vibaya tukawajua maana watakuwa wamesaidia fedha nyingi isiende nje ya nchi lakini ni lazima tujue kama sheria na taratibu zimezingatiwa katika kuwapatia tender hiyo.

Hata kama itakuwa ni kampuni ya kigeni nayo tungependa kujua namna ilivyopewa tender/kandarasi husika.

Ni hayo tu.
Mkuu kuna jina jipya limeanzishwa la mchochezi
 
Uchungu na pale unapogundua wewe ni mwanachi na kuna mwenyenchi.
 
Sina uhakika!

Hata hivyo, nilicho na uhakika nacho ni kwamba, Managing Director ni Stephen Matigo! Huyu Stephen Matigo aliwahi kuteuliwa na JPM kuwa Mjumbe wa TEMESA mwaka 2012! Kwa maana nyingine, kuna kila dalili kwamba JPM anafahamiana na Managing Director wa hii kampuni.
Kumbe huna uhakika
 
Angalau sasa
 
Nadhani majibu umepata,ila hayo ungewauliza wizara ya ujenzi mkuu SALARY.We si mzee wa kufukunyua
 
Mtakapokumbuka shuka asubuhi nimeongea and kumekucha.Huo kwanza wa bodega sidhani kama una any impact kwenye Tanzania economy au ni yale yale ya utawala wetu wa KUJENGA kwetu.

Water alisema Mbuzi kwenye kama ndefu ndiyo bila Majani lea wingi
Unaambiwa kila mkoa tunajenga viwanda 100
 
Wadau, mimi hayo ndio maswali yangu na anaeweza kutoa majibu atusaidie na ikiwezekana atoe na nyaraka kusapoti majibu yake.

Kama ana document za kutangaza tender kama vile gazeti,n.k atuweke hapa na nyaraka zingine zote muhumu katika utangazaji na utoaji wa tender.

Nasikia hii kampuni ni ya wazawa(sijui ukweli wa hili jambo) ila kama ni kweli basi si vibaya tukawajua maana watakuwa wamesaidia fedha nyingi isiende nje ya nchi lakini ni lazima tujue kama sheria na taratibu zimezingatiwa katika kuwapatia tender hiyo.

Hata kama itakuwa ni kampuni ya kigeni nayo tungependa kujua namna ilivyopewa tender/kandarasi husika.

Ni hayo tu.
unaihoji serikali chunga sana
 
Huo ni uchochezi, mbona zile ndege hauhoji zilivyonunuliwa? Hii ni vita ya kiuchumi usije ukawa upande wa adui. Marufuku kuhoji hoji kila kitu. Milion 50 kila kijiji/mtaa zitakuja kwa staili nyingine.
Twafwaaaaaaa
 
Back
Top Bottom