Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Unajuwaje labda anataka kuwapa kazi ya kumjengea naye uwanja wa ndege yake huko kwao?Kwa mfano ukijua mmiliki itakusaidia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuwaje labda anataka kuwapa kazi ya kumjengea naye uwanja wa ndege yake huko kwao?Kwa mfano ukijua mmiliki itakusaidia nini?
Kwa maelekezo maalum na kazi maalumAisee kampuni yenyewe kumbe imesajiliwa mwaka jana tu? Inaonekana walisajili kampuni ili wapate kazi. Hii nchi kweli ni ngumu
Ndo umejua Leo Mkuu??Anajitia kupambana na ufisadi kumbe yeye ni fisadi papa.
CAG? Yupo siku hizi?Mh! Dili limepigwa hapa la kufa mtu. Hili jina kama la mkolomije. Ndiyo sababu taratibu za Serikali kutafuta mkandarasi hazikufuatwa ili ampe mtu wake. Kuna kila sababu ya CAG kukagua shughuli yote hii kuanzia uchotaji wa pesa hadi kumpata mkandarasi ikiwemo maamuzi ya kujenga uwanja huo usio na kipaumbele cha namna yoyote ile kwa Watanzania.

Hata kama ingekuwa hivyo, haihojiwi? Soma bajeti ya July kuna pesa imetengwa kwa akili ya ujenzi wa kiwanja hiki na vingine vinneFedha hazijaidhinishwa na bunge
Nchi haifuati sheria unahoji nini?Hata kama ingekuwa hivyo, haihojiwi? Soma bajeti ya July kuna pesa imetengwa kwa akili ya ujenzi wa kiwanja hiki na vingine vinne
Kuwa mfuatiliaji wa habari, kampuni inayojenga ni ya serikali TBA.Wadau, mimi hayo ndio maswali yangu na anaeweza kutoa majibu atusaidie na ikiwezekana atoe na nyaraka kusapoti majibu yake.
Kama ana document za kutangaza tender kama vile gazeti,n.k atuweke hapa na nyaraka zingine zote muhumu katika utangazaji na utoaji wa tender.
Nasikia hii kampuni ni ya wazawa(sijui ukweli wa hili jambo) ila kama ni kweli basi si vibaya tukawajua maana watakuwa wamesaidia fedha nyingi isiende nje ya nchi lakini ni lazima tujue kama sheria na taratibu zimezingatiwa katika kuwapatia tender hiyo.
Hata kama itakuwa ni kampuni ya kigeni nayo tungependa kujua namna ilivyopewa tender/kandarasi husika.
Ni hayo tu.
Huyo mayanga si ndgu yake hilo liko wazi,kampuni hiyo hata mtaji haina istoshe akiwa waziri alimpa barabara za isamilo zikajengwa miakamahali hata km 4 haifiki,huwezi kumtenganisha na mayangaKuna kila dalili kwamba huu ni mchongo! And look, JPM anapenda sana kufungua miradi hata ile yenye hadhi ya RC lakini ufunguzi wa Uwanja wa Chato amekacha!!!
Ingawaje watu wanaamini amekacha kwa kuona aibu kwa ubadhirifu mkubwa kama huu lakini pia naamini sababu nyingine ni kutaka asitengeneze dots zozote zitakazomuunganisha na mmiliki wa Mayanga Contractors. JPM sio mtu wa kuacha mradi wa Bilioni 41 asifungue wakati anafungua miradi yenye thamani chini ya bilioni moja!!
Mayanga Contractors... mengine katafuteWadau, mimi hayo ndio maswali yangu na anaeweza kutoa majibu atusaidie na ikiwezekana atoe na nyaraka kusapoti majibu yake.
Kama ana document za kutangaza tender kama vile gazeti,n.k atuweke hapa na nyaraka zingine zote muhumu katika utangazaji na utoaji wa tender.
Nasikia hii kampuni ni ya wazawa(sijui ukweli wa hili jambo) ila kama ni kweli basi si vibaya tukawajua maana watakuwa wamesaidia fedha nyingi isiende nje ya nchi lakini ni lazima tujue kama sheria na taratibu zimezingatiwa katika kuwapatia tender hiyo.
Hata kama itakuwa ni kampuni ya kigeni nayo tungependa kujua namna ilivyopewa tender/kandarasi husika.
Ni hayo tu.
Classmate.Sina uhakika!
Hata hivyo, nilicho na uhakika nacho ni kwamba, Managing Director ni Stephen Makigo! Huyu Stephen Matigo aliwahi kuteuliwa na JPM kuwa Mjumbe wa TEMESA mwaka 2012! Kwa maana nyingine, kuna kila dalili kwamba JPM anafahamiana na Managing Director wa hii kampuni.