Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Kwa upande wa uwezo Mkandarasi anakidhi vigezo vya kimataifa kwani ni class 1 contractor in Building and civil works and also ana uzoefu wa kazi za ujenzi wa muda mrefu hivyo kwenye uzoefu wa job with similar work mkandrasi yuko vzuri pia ni Mkandarasi mzawa anafanya mradi mkubwa wa lami Makutano - Mugumu alishakamilisha Daraja la Mbutu wilayani Igunga
Swali la msingi ni je sheria za manunuzi yaani PPRA zilifuatwa? lakini kiuwezo mkandarasi yuko vzuri sana.
afadhali wewe... kuna watu wanapenda stori kuliko facts.
 
Mh! Dili limepigwa hapa la kufa mtu. Hili jina kama la mkolomije. Ndiyo sababu taratibu za Serikali kutafuta mkandarasi hazikufuatwa ili ampe mtu wake. Kuna kila sababu ya CAG kukagua shughuli yote hii kuanzia uchotaji wa pesa hadi kumpata mkandarasi ikiwemo maamuzi ya kujenga uwanja huo usio na kipaumbele cha namna yoyote ile kwa Watanzania.
Kuhusu tenda, ilitangazwa angalia andiko la barafu humu (search) alipokuwa akilinganisha kati ya huu uwanja na uwanja wa Dar.
 
Maswali kama haya wapeni wabunge wenu wakaulize bungeni. Tunahangaika kuulizana JF, toka 2016 uwanja unajengwa, wabunge wenu hawasemi kitu hali kuwa pesa wanaidhinishwa tu. Wanaidhinisha pasipokujua mchakato na sababu za ujenzi?
Ulimsikiliza vizuri Nyalandu katika sababu zake za kujiondowa ccm? Na leo mbunge wa Zanzibar Turki au Mr White umesoma vyombo vya habari walichomnukuu?

Mnaweza mkawa mnawacheka North Korea kumbe afadhali ya wao.
 
Wadau, mimi hayo ndio maswali yangu na anaeweza kutoa majibu atusaidie na ikiwezekana atoe na nyaraka kusapoti majibu yake.

Kama ana document za kutangaza tender kama vile gazeti,n.k atuweke hapa na nyaraka zingine zote muhumu katika utangazaji na utoaji wa tender.

Nasikia hii kampuni ni ya wazawa(sijui ukweli wa hili jambo) ila kama ni kweli basi si vibaya tukawajua maana watakuwa wamesaidia fedha nyingi isiende nje ya nchi lakini ni lazima tujue kama sheria na taratibu zimezingatiwa katika kuwapatia tender hiyo.

Hata kama itakuwa ni kampuni ya kigeni nayo tungependa kujua namna ilivyopewa tender/kandarasi husika.

Ni hayo tu.
Hakuna tenda ilitangazwa wala Bunge kupitisha chochote na kampuni zinazofanya kazi ni za Mtukufu, Bashite na rafiki zao hilo ndilo jibu.
 
Anajitia kupambana na ufisadi kumbe yeye ni fisadi papa.
Ununuzi wa ndege kwa cash ile 10% yote imepitishiwa kwa Maliyamungu Bashite kisha wanagawana hakuna vita ya Ufisadi Tanzania bali kuna Sinema za kuwahadaa watanzania.
 
Mayanga Contractors ipo toka miaka ya 80's if not 90's ,,,nimehamia mwanza around 98 nimeikuta,,
Inawezekana ila hapo inaonyesha kabisa ni ya mwaka 2016. Labda kama hufahamu CRB wanavyotoa namba zao za usajili. Inawezekana ilikiwepo ikawa dormant ikaenda kufufuliwa mwaka jana kwa kazi ya CIA
 
Tender uchwara ilitangazwa....kwenye gazeti nadhani kuna uzi uko humu wenyekile kipande cha gazeti ......ila hizo pesa hazimo kwenye bajeti alichota tu.....wamepiga chao ch juuu!!!!
zipo kwenye bajeti
 
Mh! Dili limepigwa hapa la kufa mtu. Hili jina kama la mkolomije. Ndiyo sababu taratibu za Serikali kutafuta mkandarasi hazikufuatwa ili ampe mtu wake. Kuna kila sababu ya CAG kukagua shughuli yote hii kuanzia uchotaji wa pesa hadi kumpata mkandarasi ikiwemo maamuzi ya kujenga uwanja huo usio na kipaumbele cha namna yoyote ile kwa Watanzania.
Hizo ripoff za CAG zinakuja na hazifanyiwi chochote
 
Inawezekana ila hapo inaonyesha kabisa ni ya mwaka 2016. Labda kama hufahamu CRB wanavyotoa namba zao za usajili. Inawezekana ilikiwepo ikawa dormant ikaenda kufufuliwa mwaka jana kwa kazi ya CIA
Haijawahi kuwa dormant,,,itakua imepewa class 1 mwaka Jana or structure ya kampuni na wamiliki ilibadilishwa to the extent wakaona waisajili upya
 
zipo kwenye bajeti
Hakuna cha Bajeti pesa unazolewa kihuni kule Hazina yupo Doto ni mtoto wake wa nje ya ndoa, pesa ya kujenga chato haikuwa kwenye Bajeti ya Bunge wala nini ni ubabe tu ni kama wanavyochukua pesa huko huko na kumpatia Lipumba aue CUF na kuhujumu chadema.
 
Back
Top Bottom