Uwepo wa Doto kule Hazina ndiyo chanzo cha pesa za Umma kuchukuliwa kienyeji enyeji kimya kimya pasipo kushirikisha Bunge, kwa sasa Maliyamungu Bashite huchukua pesa Hazina mda wowote anaotaka, wanajizolea pesa kiulaini kwa visingizio mbalimbali hususani vya kudhoofisha upinzani nchini.