Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Sasa ahnajjhahaa atafika kahwa ajjnaa Dodoma?
 
Kwan kuna kampuni inamana hazifai kupewa tenda kubwa? Nilitaman nijue kama haikidhi viwango basi Ila kama inakidhi haina shida sisi tu nataka maendeleo nahis mtoa mada anakampuni na haifanyi vizur mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama haifanyi vizuri mjini, wangeipa kazi hata ya kijijini chato basi
 
Thobias Marandu alishaweka majibu mezani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anaongea Facts Tupu,Hata Burigi,Bank kujengwa CHATTLE alishasema kitambo kabla hata hawajaanza hizo Plan zao! Kwasasa issue ya kuhamia Dodoma amesema Group la Mfungwa wanataka kununua Majengo yote ya serikali yaliyopo DSM.

MASIMBA KONSITIRAKSHENI inamilikiwa na "MFUNGWA MTARAJIWA".
 
Wabongo wanaumizana wenyewe kwa wenyewe,mlitaka kazi apewe mchina?
 
NANI ANAMFAHAMU BABA WA BABA YA MLETA HUU UZI?
 
Bado tunahitaji majibu ya ruzuku za chademq
 
Yanga, choka mbaya hausiki na hii project. Mayanga mwenyewe namfahamu toka anaanza hizo kazi na kiofisi chake pale Ghana jirani na Taqwa secondary.

simaanishi magufuri hana mkono wake,sababu hilo liko wazi kabisa.

Ana hisa percent ngapi humo?
 
Hii Barabara inayoanzia hapa sabasaba kwenda buswelu, haina mfano wake katika barabara zote nilizowahi ziona Tanzania.kuna siri gani nyuma yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…