Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
ππππ,yaani unaweka kikwazo kuwa kampuni ni lazima itoke kanda ya ziwa?Wakati huo huo unajua kampuni yenye vigezo kanda ya ziwa ni moja!!!AiseeBwashee wakati jamaa wanatangaza tenda ya ujenzi wa uwanja wa Chato wakaweka kigezo lazima kampuni iwe class 1 kutokea kanda ya ziwa! Na kampuni katika kanda hiyo ni hiyo MAYANGA pekee duh! Mkuu bado huamini kuwa Bwashee mkubwa siyo mpigaji?
View attachment 1575073
Fisadi kuu alidanganya kuanzisha mahakama ya mafisadi, hii nchi ina maigizo sana kuzidi hata yale ya kukuta vichwa vya treni bandarini.Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?
Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?
Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?
Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.
Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Yani hawa jamaa na mkubwa wao wanataka kutufanya watanzania wote ni mbuzi wa kufugwa zizini! Yani wameamua kutugeuza mazuzu mchana kweupeeeee.ππππ,yaani unaweka kikwazo kuwa kampuni ni lazima itoke kanda ya ziwa?Wakati huo huo unajua kampuni yenye vigezo kanda ya ziwa ni moja!!!Aisee
Kati mifuasi ambayo inatia aibu Chadema yetu ni hili jamaa. Pumbavu lijinga kabisa,tril moja unadhani ni mavi yako?Hii kampuni kule kanda ya Ziwa pekee amepewa tenda ya Tshs Trilioni moja kwa miradi miwili! Nilitamani nione bond yao waliyoweka hadi wakapewa miradi mikubwa namna hiyo hasa kwa huu utawala wa Magufuli!
Kama wewe ni mpinzani mwenye akili tuwekee hapa document zikionyesha Mayanga Construction sio kampuni class1,kwamba haiwezi kujenga km 3 runway ya kutua ndege.Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?
Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?
Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?
Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.
Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?
Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?
Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?
Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.
Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Nfatei uyo mayanga mumuulize, kwanihamna waandishi wa habali au manmuogopa huyo mayanga?Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?
Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?
Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?
Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.
Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Nfatei uyo mayanga mumuulize, kwani hamna waandishi wa habali au mnamuogopa huyo mayanga?Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?
Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?
Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?
Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.
Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Umeuchokoza moyo wangu,ipo siku nikiwa karibu na Mbowe nitamkanyaga ule mguu aliuvunjika uvunjike tena. Amekula pesa za chama na sasa tunahangaika.Nfatei uyo mayanga mumuulize, kwanihamna waandishi wa habali au manmuogopa huyo mayanga?
Mkimaliza ya mayanga, nendeni mkamuulize mchukua tenda Za Chadema shemeji yake na Mbowe ambaye mnamlipa milioni 60 kila mwezi kwa miaka mitano
Tena sasa ndio mchange mchange kwa bidii aendelee kula vizuriUmeuchokoza moyo wangu,ipo siku nikiwa karibu na Mbowe nitamkanyaga ule mguu aliuvunjika uvunjike tena. Amekula pesa za chama na sasa tunahangaika.
Mimi sio kamanda mjinga kama hawa wanaosapoti ujinga.Tena sasa ndio mchange mchange kwa bidii aendelee kula vizuri
Mkuki huo. Yeye ndiye hataki kusikia.Ni kwa nini? Hawana elimu ya kujitambua? Au ni nini?
Amekutuma umjibie au?Nenda bodi ya wakandarasi utajibiwa bwashee!
Mtanzania mwenzenu kapewa tenda kubwa, kujengewa uwezo wa kucompete na makampuni makubwa duniani, kwanini tunahoji kuaminiwa kwake kufanya kaz? Tunataka ifike mahali nchi iwe na contractors wakubwa ndani ya Tanzania
Hongera mkuu, kuna watu wanajiita makamanda lakini hakuna kamanda anayefanya wanavyovifanyaMimi sio kamanda mjinga kama hawa wanaosapoti ujinga.
magu2016 MAGUFULI magufuliforpresident njoo ujibu tuhuma zako hukuJee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?
Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?
Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?
Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.
Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Hakuna sababu ha kuruka vihunzi.Sere ya viwanda imwekwa pembeni hiyo hoja lazima ijibiwe sio mtumbumbaze kwa ununuzi wa ndegeMkuu Chakaza, natumbua ufuasi wako uliotukuka upande unahoji hilo unalotaka lijibiwe. Bahati mbaya huyo unayemshabikia, kama wewe, hamjui ni lipi la kufikisha mbele ya wapiga kura, wakati wa kampeni.
Hilo unalotaka lijibiwe siyo la kisera ni la kiutendaji. Iwapo anayetuhumu akiingia madaraka, basi anayo mamlaka ya kulishughulikia. Kukomaa nalo kwenye kampeni ni ushahidi kuwa hakuna Sera mbadala za kuwashawishi wapiga kura.
Kama ambavyo nimekuwa nikihoji humu JF, je, huyo mgombea anatambua kuwa hayuko mahakamani bali kwenye jukwaa la kisiasa tena kwenye kampeni.
Lengo lake ni kumchafua Magufuli. Huu ndio mtiririko wa lengo hilo:
β Alirejea nchini kwa mikwara akitarajia angezuiwa au kukamatwa, ikabuma;
β Kwa makusudi akavunja protokali ya kumwaga marehemu Mkapa uwanjani, ili aingiapo aamshe shangwe, akakwama;
β Akamwekea Magufuli pingamizi, ikashindikana;
β Badala ya kutafuta wadhamini akamua kwa makusudi kufanya kampeni akitarajia Tume ingemchukulia hatu, nalo likapita; na
β Sasa ameshindwa kueleza Sera ya Uhuru, Haki na maendeleo ya watu hivyo anatafuta njia itayoilazimisha Tume imchukulie hatua ili azima yake ya mawakili wake kumchukulia hatua Magufuli itimie. Nalo limekwama.
Amethibitisha ni mtu jeuri, mwenye dharau na mnafiki wa hali ya juu
Bwashee mbona tangazo liko kwa mujibu wa sheria kabisa!Bwashee wakati jamaa wanatangaza tenda ya ujenzi wa uwanja wa Chato wakaweka kigezo lazima kampuni iwe class 1 kutokea kanda ya ziwa! Na kampuni katika kanda hiyo ni hiyo MAYANGA pekee duh! Mkuu bado huamini kuwa Bwashee mkubwa siyo mpigaji?
View attachment 1575073