Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Bwashee wakati jamaa wanatangaza tenda ya ujenzi wa uwanja wa Chato wakaweka kigezo lazima kampuni iwe class 1 kutokea kanda ya ziwa! Na kampuni katika kanda hiyo ni hiyo MAYANGA pekee duh! Mkuu bado huamini kuwa Bwashee mkubwa siyo mpigaji?
View attachment 1575073
😂😂😂😂,yaani unaweka kikwazo kuwa kampuni ni lazima itoke kanda ya ziwa?Wakati huo huo unajua kampuni yenye vigezo kanda ya ziwa ni moja!!!Aisee
 
Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?

Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?

Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?

Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.

Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Fisadi kuu alidanganya kuanzisha mahakama ya mafisadi, hii nchi ina maigizo sana kuzidi hata yale ya kukuta vichwa vya treni bandarini.
 
😂😂😂😂,yaani unaweka kikwazo kuwa kampuni ni lazima itoke kanda ya ziwa?Wakati huo huo unajua kampuni yenye vigezo kanda ya ziwa ni moja!!!Aisee
Yani hawa jamaa na mkubwa wao wanataka kutufanya watanzania wote ni mbuzi wa kufugwa zizini! Yani wameamua kutugeuza mazuzu mchana kweupeeeee.
 
Hii kampuni kule kanda ya Ziwa pekee amepewa tenda ya Tshs Trilioni moja kwa miradi miwili! Nilitamani nione bond yao waliyoweka hadi wakapewa miradi mikubwa namna hiyo hasa kwa huu utawala wa Magufuli!
Kati mifuasi ambayo inatia aibu Chadema yetu ni hili jamaa. Pumbavu lijinga kabisa,tril moja unadhani ni mavi yako?
 
hebu acheni kutafuta jibu na kumchosha Mh.Rais wetu,,mkitaka jibu fungeni safari zilipo ofisi za BRELA mtapewa majibu kuhusu hitaji lenu
 
Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?

Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?

Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?

Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.

Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Kama wewe ni mpinzani mwenye akili tuwekee hapa document zikionyesha Mayanga Construction sio kampuni class1,kwamba haiwezi kujenga km 3 runway ya kutua ndege.

Tuwekee ushahidi wa picha wa hizo shule ambazo hazijakamilika.

Pia tuambie hii hoja ya Mayanga itakisaidia vipi chama chetu. Sipendi wanaChadema wapumbavu.
 
Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?

Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?

Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?

Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.

Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!

Taarifa sahihi za kampuni zinazoweza kujibu maswali yote zinapatikana kwa mhusika wa makampuni Business Registrations and Licensing Agency
 
Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?

Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?

Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?

Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.

Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Nfatei uyo mayanga mumuulize, kwanihamna waandishi wa habali au manmuogopa huyo mayanga?
Mkimaliza ya mayanga, nendeni mkamuulize mchukua tenda Za Chadema shemeji yake na Mbowe ambaye mnamlipa milioni 60 kila mwezi kwa miaka mitano
 
Nfatei uyo mayanga mumuulize, kwani hamna waandishi wa habali au mnamuogopa huyo mayanga?
Mkimaliza ya mayanga, nendeni mkamuulize mchukua tenda Za Chadema shemeji yake na Mbowe ambaye mnamlipa milioni 60 kila mwezi kwa miaka mitano
 
Nfatei uyo mayanga mumuulize, kwanihamna waandishi wa habali au manmuogopa huyo mayanga?
Mkimaliza ya mayanga, nendeni mkamuulize mchukua tenda Za Chadema shemeji yake na Mbowe ambaye mnamlipa milioni 60 kila mwezi kwa miaka mitano
Umeuchokoza moyo wangu,ipo siku nikiwa karibu na Mbowe nitamkanyaga ule mguu aliuvunjika uvunjike tena. Amekula pesa za chama na sasa tunahangaika.
 
Tena sasa ndio mchange mchange kwa bidii aendelee kula vizuri
 
Mtanzania mwenzenu kapewa tenda kubwa, kujengewa uwezo wa kucompete na makampuni makubwa duniani, kwanini tunahoji kuaminiwa kwake kufanya kaz? Tunataka ifike mahali nchi iwe na contractors wakubwa ndani ya Tanzania

Mkuu nimejaribu kuangalia tovuti ya hiyo kampuni ni shida - (Mayanga Contractors Company Ltd).

Ukienda kwenye ukurasa wa Projects inasema "This Page is Under construction" - Our Projects

Ukienda kwenye ukurasa wa picha inakwambia "The Page is under Construction" - Gallelay

A construction company that is still under construction.
 
Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?

Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?

Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?

Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.

Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
magu2016 MAGUFULI magufuliforpresident njoo ujibu tuhuma zako huku
 
Mkuu Chakaza, natumbua ufuasi wako uliotukuka upande unahoji hilo unalotaka lijibiwe. Bahati mbaya huyo unayemshabikia, kama wewe, hamjui ni lipi la kufikisha mbele ya wapiga kura, wakati wa kampeni.

Hilo unalotaka lijibiwe siyo la kisera ni la kiutendaji. Iwapo anayetuhumu akiingia madaraka, basi anayo mamlaka ya kulishughulikia. Kukomaa nalo kwenye kampeni ni ushahidi kuwa hakuna Sera mbadala za kuwashawishi wapiga kura.

Kama ambavyo nimekuwa nikihoji humu JF, je, huyo mgombea anatambua kuwa hayuko mahakamani bali kwenye jukwaa la kisiasa tena kwenye kampeni.

Lengo lake ni kumchafua Magufuli. Huu ndio mtiririko wa lengo hilo:
√ Alirejea nchini kwa mikwara akitarajia angezuiwa au kukamatwa, ikabuma;
√ Kwa makusudi akavunja protokali ya kumwaga marehemu Mkapa uwanjani, ili aingiapo aamshe shangwe, akakwama;
√ Akamwekea Magufuli pingamizi, ikashindikana;
√ Badala ya kutafuta wadhamini akamua kwa makusudi kufanya kampeni akitarajia Tume ingemchukulia hatu, nalo likapita; na
√ Sasa ameshindwa kueleza Sera ya Uhuru, Haki na maendeleo ya watu hivyo anatafuta njia itayoilazimisha Tume imchukulie hatua ili azima yake ya mawakili wake kumchukulia hatua Magufuli itimie. Nalo limekwama.

Amethibitisha ni mtu jeuri, mwenye dharau na mnafiki wa hali ya juu
Hakuna sababu ha kuruka vihunzi.Sere ya viwanda imwekwa pembeni hiyo hoja lazima ijibiwe sio mtumbumbaze kwa ununuzi wa ndege
 
Bwashee wakati jamaa wanatangaza tenda ya ujenzi wa uwanja wa Chato wakaweka kigezo lazima kampuni iwe class 1 kutokea kanda ya ziwa! Na kampuni katika kanda hiyo ni hiyo MAYANGA pekee duh! Mkuu bado huamini kuwa Bwashee mkubwa siyo mpigaji?
View attachment 1575073
Bwashee mbona tangazo liko kwa mujibu wa sheria kabisa!
 
Back
Top Bottom