Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Hivi mbona watawala hawajifunzi? Hivi mbona wanatuchukulia poa sana?

Mr.Clean Benjamini Mkapa, alifanya yake na Anben yake, akajimilikisha na mgodi wa makaa ya mawe ya Kiwira...sijui alikuwa anawaza nini kichwani mwake wakati anafanya hayo, labda ni ile imani yake kwamba Watanzania ni malofa.

Haya, akaja JK na mambo yake ya Home Shopping Center na Lugumi...pesa na raha za muda mfupi hadi sasa Lugumi nyumba zinauzwa, na hadi wametuletea Dr.Louis Shika.

Sasa, amekuja mkali wa ku
fight corruptions(sic)...corruptions is a cancer... mapema tu kashfa nzito zinarindima, mara Mayanga mara Madege mabovu mara Uwanja wa Ndege kijijini...tunaelekea wapi? Hivi anatuchukuliaje? Kwanini watawala hawajifunzi? Kwanini hawaogopi kufanya haya madudu?
Kwa sababu Wanajuwa katba iliyokuwepo inawalinda inawaruhusu wafanye watakavyo wauwe,wanyan'ganye ,wabake democrasia,wavunje katiba hakuna chombo chochote chenye mamlaka yakuwahoji wakiwa madarakani na hata wanapoondoka madarakani yaani katiba imewapa nguvu ya umungu na chuma tulonacho ndio kabisa hakitaki kusikia chochote kuhusu katiba mpya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bob Marley Lyrics
Play "Get Up, Stand Up"

"Get Up, Stand Up"

Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!

Preacherman, don't tell me,
Heaven is under the earth.
I know you don't know
What life is really worth.
It's not all that glitters is gold;
'Alf the story has never been told:
So now you see the light, eh!
Stand up for your rights. Come on!

Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!

Most people think,
Great God will come from the skies,
Take away everything
And make everybody feel high.
But if you know what life is worth,
You will look for yours on earth:
And now you see the light,
You stand up for your rights. Jah!


Get up, stand up! (Jah, Jah!)
Stand up for your rights! (Oh-hoo!)
Get up, stand up! (Get up, stand up!)
Don't give up the fight! (Life is your right!)
Get up, stand up! (So we can't give up the fight!)
Stand up for your rights! (Lord, Lord!)
Get up, stand up! (Keep on struggling on!)
Don't give up the fight! (Yeah!)

We sick an' tired of-a your ism-skism game -
Dyin' 'n' goin' to heaven in-a Jesus' name, Lord.
We know when we understand:
Almighty God is a living man.
You can fool some people sometimes,
But you can't fool all the people all the time.

So now we see the light (What you gonna do?),
We gonna stand up for our rights! (Yeah, yeah, yeah!)

So you better:
Get up, stand up! (In the morning! Git it up!)
Stand up for your rights! (Stand up for our rights!)
Get up, stand up!
Don't give up the fight! (Don't give it up, don't give it up!)
Get up, stand up! (Get up, stand up!)
Stand up for your rights! (Get up, stand up!)
Get up, stand up! ( ... )
Don't give up the fight! (Get up, stand up!)
Get up, stand up! ( ... )
Stand up for your rights!
Get up, stand up!
Don't give up the fight! [fadeout]
 
Katiba isiyokuwa ya wananchi ndio inaongoza nchi! Nani wa kumfunga paka kengele? Wabunge wanahoji vizuri tu lakini mrejesho hakuna ni mvurugano kwa kwenda mbele.
 
Tatizo lingine ni kwa huyu spika, muoga, sijui anaogopa nini wakati yeye ndo mkuu wa muhimili huu muhimu wa kuisimamia serikali
 
Ishu syo lugumi elewa kuna watu wazito wako juu ya former shoe shiner wa mwanza,ukimgusa lugumi basi kuna matop nao inabidi waguswe vita ya rushwa iko Kwa walalahoi na Wale ambao watu fulani wanakisasi nao ambao wanataka kuwakomoa ndy huwapata

Ova
 
Wadau, hili ni dudu jingine mjini hapa linapata matenda makubwa ya serikali hii, mfano Chato airport na tender kubwa za lake zone na Kigoma.

Kuna tender ilitangazwa nikasikia kampuni moja ya ujenzi inasema kama Mayanga akiomba hawatajisumbua kuomba.

So wajuzi wa mambo naombeni elimu kampuni hili ni la nani? Kwanini Mbarawa anapata kigugumizi juu ya Mayanga?

Nawasilisha
 
Mmiliki ni ndugu Stephen Makigo

businees card mayanga.png
 
Mbarawa anapata hasira kama alivyofanyiwa Magufuli na JK....maana Prof ndio ataachiwa nchi anajua madudu yoote na mengi ya mfalme.....akipewa na yeye anaziba mianya yoote!!!! Mayanga wee tender zote yeye tu ....tusubiri ni suala la muda tuu tutajua
 
Mbarawa anapata hasira kama alivyofanyiwa Magufuli na JK....maana Prof ndio ataachiwa nchi anajua madudu yoote na mengi ya mfalme.....akipewa na yeye anaziba mianya yoote!!!! Mayanga wee tender zote yeye tu ....tusubiri ni suala la muda tuu tutajua
On mekupata mkuu. Kumbe hii kampuni ni untouchable.....
 
Back
Top Bottom