Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Wadau, hili ni dudu jingine mjini hapa linapata matenda makubwa ya serikali hii mf chato airport na tender kubwa za lake zone na kigoma.

Kuna tender ilitangazwa nikasikia kampuni moja ya ujenzi inasema kama Mayanga akiomba hawatajisumbua kuomba....

So wajuzi wa mambo naombeni elimu kampuni hili ni la nani? Kwanini Mbarawa anapata kigugumizi juu ya Mayanga?

Nawasilisha

Uko tayari kupima Mkojo??Fanyia utafiti ila in short mwenye nayo ndiyo mwenye kisu cha kukatia keki na kijiko cha kulishia hiyo keki,nani ale na nani asile.
 
Ni kazi tukitaka kujua kila mmiliki wa kampuni,je kazi hazina ubora na hazikamiliki kwa wakati!
Wewe ni empty set, kwahiyo hata kwenye ajira kama watoto wa viongozi wamesoma basi wao wapewe kazi tu mbele ya wengine hakuna haja ya interview
 
Mashoga wapi wengi humu.

MBWIGA.jpg
 
Mbarawa hawezi kufanya lolote kama kampuni inakuwa handpicked na kupewa tender ya ujenzi wa Airport japo kampuni hiyo haina uzoefu huo. Mbarawa bado ana watoto wadogo ujue...
lkn kwenye issue ya uzoefu mi huwa sikubaliani na neno hilo.....maana hata hiyo kampuni yenye uzoefu kuna siku ilianzishwa...so kama kila tender ingenyimwa kwa suala la uzoefu maana yake isingepata uzoefu milele....cha muhimu ni kampuni kuwa na timu bora ya utendaji kazi
 
Uko tayari kupima Mkojo??Fanyia utafiti ila in short mwenye nayo ndiyo mwenye kisu cha kukatia keki na kijiko cha kulishia hiyo keki,nani ale na nani asile.
Mkojo sitowi mkuu.... Hahaha
 
Back
Top Bottom