BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Huwezi kuelewa hadi uwe na akili kubwa. Mazingira yanawekwa makusudi kabisa ili kuhakikisha kampuni ya JIWE ndiyo “inashinda” hiyo zabuni.
Zito hachoki kua mpotoshaji...tender inasema contractor awe anatoka kanda ya Ziwa na ime mention mikoa yote ya Kanda ya Ziwa ila yeye kwa Makusudi kaitaja Mwanza na Shinyanga na Kuiomit mikoa mingine...anafanya technical error ya Makusudi kabisa just to cause chaos...kwani watu hawawezi ku make their point bila kutia chumvi? Pathetic