Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Magufuli ni fisadi
Ova!
Ova!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utauliza kwa nini jua linawaka, basi usogee juani!Hoja hii inamuhusu Magufuli mojakwamoja inatakiwa ajibu yeye
Huwezi kupambana na rushwa kwa namnavhii,huu ni ufisadiJee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?
Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?
Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?
Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.
Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
wapiga kura hawataki kusikia hayoJee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?
Documents zinaweza sema mzigo wa Mwajuma kumbe uhalisia ni wa Johari. Tunataka ukweli wa tuhumaNenda bodi ya wakandarasi utajibiwa bwashee!
Ni kwa nini? Hawana elimu ya kujitambua? Au ni nini?wapiga kura hawataki kusikia hayo
Basi nenda Takukuru!Documents zinaweza sema mzigo wa Mwajuma kumbe uhalisia ni wa Johari. Tunataka ukweli wa tuhuma
yana muda wake hayo masualaNi kwa nini? Hawana elimu ya kujitambua? Au ni nini?
Utauliza kwa nini jua linawaka, basi usogee juani!
Kuna wimbo moja wa zamani unaitwa Mayanga. Mmoja wa ubeti unaimba hivi" Mayanga uliponitoa kwetu sumbawanga ulisema wewe huku mjini ni Meneja kumbe wewe si Meneja, Ona Sasa nateseka Mayanga, Narudi kwetu Sumbawanga" Naupenda Sana wimbo huu.
Toa Jiwe weka mtu anayeeleweka na mzalendo halisi Mh Lissu. Mwaka huu lazima Jiwe arudi kwaoyana muda wake hayo masuala
muda huu watu wanataka kujua utafanya nini ili kuyafanya maisha yao kuwa rahisi
watu wanataka ugali weww unazungumzia sijui mayanga construction ya nani rais aeleze ya nani,kwani BRELA hupajui?ukilipa 22,500 faili linaletwa mezani unafunua kurasa moja baada ya nyingine
@Bashite unaitwa hukuPaulo utoke huko uliko umsaidie Baba yako kwani kwa kauli yako mwenyewe, wewe ni mtu ulie kula raha kuliko watu wote katika awamu hii.
Mkuu Chakaza, natumbua ufuasi wako uliotukuka upande unahoji hilo unalotaka lijibiwe. Bahati mbaya huyo unayemshabikia, kama wewe, hamjui ni lipi la kufikisha mbele ya wapiga kura, wakati wa kampeni.Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?
Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?
Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?
Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.
Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Bwashee wakati jamaa wanatangaza tenda ya ujenzi wa uwanja wa Chato wakaweka kigezo lazima kampuni iwe class 1 kutokea kanda ya ziwa! Na kampuni katika kanda hiyo ni hiyo MAYANGA pekee duh! Mkuu bado huamini kuwa Bwashee mkubwa siyo mpigaji?Basi nenda Takukuru!
Hivi hao mnaowaita wapiga kura ni kina nani? Kwani mleta mada siyo mpiga kura? Mimi hapa napiga kura na nataka kujua kuhusu Mayanga kwa sasa ni nani kwa Magufuli na kwa nini tenda anazopewa hazitangazwi na Magufuli kakaa kimya? Nafahamu ukaribu wao maana Mayanga alikuwa mfadhili wa Magufuli tangu akiwa Nyanza. Huyu tangu enzi za Mzee wake ni mlezi wa Magufuli kiuchumi mpaka akapata Ubunge Chato na kisha Uwaziri. Aliyenacho huongezewa na mdivyo ilivyotokea kwa Mayanga baada ya Magufuli kupewa wizara inayohusiana na biashara ya Mayanga. Baada ya Kuonja utamu wa wizara hiyo Magufuli hakutaka wizara nyingine. Huku akijifanya mkali na mfuatiliaji, ghafla akagusa ulaji wa wakubwa zake kwa kuzuia malori. Ikazuka Songombingo kubwa hadi kutaka kujiuzulu baada ya Pinda kwenda kutema mbovu jimboni kwake Chato mbele ya wapiga kura wake, lakini akazuiwa na Mkapa na kuahidiwa makubwa huko mbele. Baada ya hapo akahamishiwa Wizara ya uvuvi ambayo hakuipenda akidhani miradi yake na ya marafiki zake itachokonolewa lakini Kikwete alijua kula na vipofu akamwacha.wapiga kura hawataki kusikia hayo
Hii kampuni kule kanda ya Ziwa pekee amepewa tenda ya Tshs Trilioni moja kwa miradi miwili! Nilitamani nione bond yao waliyoweka hadi wakapewa miradi mikubwa namna hiyo hasa kwa huu utawala wa Magufuli!