#COVID19 Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson & Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine kwa watu wote waliopata chanjo ya kwanza

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta.

J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant.

Soma zaidi.
 
Kampuni onayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta.

J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant.

Soma zaidi.
Hizi chanjo sasa tumeamini zipo kibiashara zaidi!
 
Mama keshasema
mumewe tayari keshatest mitambo na iko Safi kabsa,

Chanjo nyingine ya Nini Sasa?
 
Hizi chanjo sasa tumeamini zipo kibiashara zaidi!
Ulikua hujui?

Hizi ni business kubwa za wakubwa.

Angalia nchi zote zilizokataa chanjo marais wake wamekufa kifo kisicchoeleweka, Bongo, Haiti na yule wa Madagascar ameponea chupu chupu ila dawa yake iko jikoni.

Angalia kampuni za chanjo ka Pfizer, J&J, Moderna na Oxford hisa zao zimepanda zaidi zilipanda zaidi ya 300% baada ya kuanza kuuza chanjo, ukibisha lazima watakushughulikia.
"Moderna Stock Heads to the Moon - WSJ" Moderna Stock Heads to the Moon
 
Baada ya hii, kuna corona versions 4 &5 zinakuja. Nazo chanjo mbili mbili kwa waliochanjwa. Baada ya hapo booster kila miezi 3.

Mwanzoni waliaminishwa kwamba it is aone time shot vaccine.

Huu ni mwanzo tu. Keep watching!.
Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta.

J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant.

Soma zaidi.
 
Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta.

J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant.

Soma zaidi.

Kwanini wasiopenda kuchanjwa ndiyo wafuatiliaji wakubwa wa kuhusiana na chanjo?

Areas zao za interest:

"Chochote hasi kuhusiana na chanjo hata kama ni cha uongo, kijinga au kipumbavu."

Nyinyi si mlishafika hamhitaji chanjo, makando kando mengine haya ya nini basi?

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom