The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Wateja wa kersperskyBiashara nzuri sana hii.
Hizi chanjo sasa tumeamini zipo kibiashara zaidi!Kampuni onayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta.
J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant.
Soma zaidi.
John,kwenye sarakasi za chanjo upo kimya sana aisee 🤣 🤣Kwani askofu Gwajima ameshamaliza kuhojiwa?
Hahahaaaa....... haya mambo yanataka hekima ya kimungu bwashee!John,kwenye sarakasi za chanjo upo kimya sana aisee 🤣 🤣
Ulikua hujui?Hizi chanjo sasa tumeamini zipo kibiashara zaidi!
Kwa nyie mliovuviwa mtushirikishe bwasheeHahahaaaa....... haya mambo yanataka hekima ya kimungu bwashee!
Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta.
J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant.
Soma zaidi.
Kwani Mzee Mgaya anasemaje?Hahahaaaa....... haya mambo yanataka hekima ya kimungu bwashee!
booster mta nunua wenyeweKwahiyo na bongo tutapewa busta.
#MaendeleoHayanaChama
Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta.
J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant.
Soma zaidi.
Anasema wasomali ni noma!Kwani Mzee Mgaya anasemaje?