Kampuni ipi ya kuandaa Movie inakukosha?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kwa wapenzi wakuangalia Movies, ni Kampuni gani kati ya hizi ukiiona kwenye movie unakuwa na hamu ya kuangalia hiyo Movie.









Mimi ni WB (Warner Bros)

Boqin Naomba ubadilishe Thread Title isomeke "Kampuni ipi ya usambazaji Movie inakukosha?
 
Kwa maelezo yako inaonyesha kabisa hujui tofauti ya Waandaaji (Production Company) na Wasambazaji (Distribution Company)

Mfano.
Mimi napenda kampuni ya uandaaji ya Marvel Studio, ila msambazaji wake hua ni Walt Disney Distribution Company.

So nyingi hapo ni wasambazaji na sio waandaaji, japo kampuni inaweza kua msambazaji na muandaaji
 
Mm napenda horror and thriller movies, sasa nikijua ni Warner Bros wamehusika kwa namna yoyote ile bc Sina haja ya kufuatilia story wala kuangalia trailer Mimi hapo ni kuweka salio na kupakua hiyo movie.
 
Naona amekugusa kwenye nyanja yako.
 
Asije akawa ameanzisha thread alafu hana supporting evidences itakula kwake mpaka thread kuiona chungu.🤣
Kwa mfano hapo ameorodhesha Lionsgate, Warner Bros, colombia Picture kwamba ni waandaaji Kafanya mchanganyo balaa..

Lionsgate ni kampuni ya uandaaji na sio usambazaji ipo chini ya Warner Bros. WB ndio wasambazaji wa muvi za Lionsgate. Warner Bros wanamiliki Dc Comics/Film... Kwasasa kampuni ya WB. Inaitwa Warner Bro. Discovery maana iliungwa na kampuni ya Discovery na kua moja...

Kataja Colombia Picture but hao ni wasambazaji waandaaji hua ni Sony. Colombia picture ipo chini ya Sony. Ndio maana muvi zote za Spiderman lazima zisambazwe na Colombia Pictures maana Spider-Man character inamilikiwa na Sony!
 
Warner Bros, 20 century, Touch Stone Pictures, Sony, MGM, New Word Cinema bila kusahau Universal
 
We Mjanja M1 njoo ujifunze hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…