Hehehe nomaHahahahaha Receivership tayari???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] has it even been a year since ??? Where is geza ??? Hamna consumer market huko TZ???? I THOUGHT DAR WAS THE MOST POPULATED CITY IN EA ....mbona mabasi 51 zinawekwa receivership?
Mabasi 51 umetoa wapi hiyo? Unajitekenya na kucheka mwenyewe.Hahahahaha Receivership tayari???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] has it even been a year since ??? Where is geza ??? Hamna consumer market huko TZ???? I THOUGHT DAR WAS THE MOST POPULATED CITY IN EA ....mbona mabasi 51 zinawekwa receivership?
Hata kama ni mia mbili how does a parastatal go into receivership less than A year since inception [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] peleka ujamaa mbaliMabasi 51 umetoa wapi hiyo? Unajitekenya na kucheka mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 15kshs Hata Nakuru hautapanda boda 1kmImagine, jamaa wabahili, most of these Bongos can't survive in Nairobi aki. Washazoea daladala chafu ambazo wao hulipia nauli ya 300Tshs, ukiwaletea vyombo vya kisasa vyenye ustaarabu ambavyo unafaa ulipie wanalalamika hadi kuzimu. Halafu la kushangaza unakuta hata middle class wa Tanzania na wao wapo humo wanalalamika.
Hizi hapa ndio zao, hizo za 300Tsh about 15Ksh, unakuta hata wenye hela wabahili wanabanana humo...
Parastatal (shirika la umma) ni nani hapo? Mradi wa mabasi ya mwendokasi unamilikiwa na serikali kwa 49% na UDART (kampuni binafsi inayomilikiwa na Simon group) kwa 51%. Hao Simon Group wanadaiwa na benki, TIB na mkopo huo hauhusiani kwa lolote na mradi wa mabasi ya mwendokasi.Hata kama ni mia mbili how does a parastatal go into receivership less than A year since inception [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] peleka ujamaa mbali
Kichwa chako ni kigumu kiasi hicho ama ndio umeamua kubisha tu? Simon Group ndio ipo under receivership kutokana na deni lao la mwaka 2008 na sio UDART. Mradi wa mabasi ya mwendokasi hautaathiriwa kwa vyovyote na hatua hiyo.Hata ukijitetea how does this go into a receivership its not even 7months since!!!
Hautaruka story!!
Wakenya wanawivu wakike Sana,, kila kitu tunachofanya wanataka kucompare , yaani hawataki kuamini kuwa dar es salaam ni developing city and Nairobi is stagnant city,hata daraja letu la kigamboni walianza kuwadanganya wazungu eti nilao,yaani vtu vizuri vyote wanataka viwe vyao,wanataka kujicompare mpaka na wazungu ,Sasa njoo kwenye uongo na utapeli ndio wana masters,, Tanzanian we living our own life style.
Tatizi nyie wakenya siku hizi mmeishiwa point. Zaidi sana mmekuwa na wivu wa kike.Kameze wembe We mla Albino.Kike ni wewe jambazi kabisa.Do you have to mention Kenya in your sour nasty flimsy and lazy arguments.Get a life.
15 ksh hata kijijini kwetu hutopata matatu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 15kshs Hata Nakuru hautapanda boda 1km
Unapoteza muda wako kuwaelimisha, wakenya ni sikio la kufa, halina dawa.Parastatal (shirika la umma) ni nani hapo? Mradi wa mabasi ya mwendokasi unamilikiwa na serikali kwa 49% na UDART (kampuni binafsi inayomilikiwa na Simon group) kwa 51%. Hao Simon Group wanadaiwa na benki, TIB na mkopo huo hauhusiani kwa lolote na mradi wa mabasi ya mwendokasi.
Tunawaelewesha ila mnajifanya vichwa ngumu ili kujifurahisha, mtakufa na vijiba vyenu vya roho.
Simon Group walalamika ufilisi wa TIB
KAMPUNI ya Simon Group Ltd imesema imesikitishwa na hatua ya Benki ya Maendeleo (TIB) kutangazwa kuwekwa chini ya ufilisi kutokana na mkopo wa kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu za pamba cha New Era Cotton Oil Mill cha jijini Mwanza wakati kulikuwa na majadiliano ya kulipa mkopo wa Sh bilioni 2.8.
Aidha, imesema si sahihi kuihusisha hatua hiyo na biashara zake, ikiwamo Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (Uda) ambayo ina hisa nyingi katika mradi wa mabasi ya haraka katika Jiji la Dar es Salaam (Udart); ikisema kila kampuni inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na inapodaiwa, mali hukamatwa zile zinazohusiana na kampuni husika.
Mkurugenzi Mtendaji wa Simon Group Limited, Robert Kisena alisema jana Dar es Salaam kuwa yalikuwapo majadiliano ya kulipa mkopo huo ambayo yalifikia mahali pazuri Mei mwaka huu na kwamba mara zote, kampuni hiyo imekuwa tayari kulipa mkopo huo na imeshangazwa na hatua ya TIB kuiweka chini ya uangalizi wa Kampuni ya Uwakili ya NexLaw kama njia ya kuelekea kuifilisi kampuni hiyo.
“Hatujawahi na wala hatuna mpango wa kukataa kulipa deni hili. Kampuni imekuwa katika mazungumzo na TIB ya kulipa deni hilo na yalifikia mahali pazuri, hivyo tumeshangazwa na hatua iliyochukuliwa ambayo inaweza kuonesha kuwa hatuna nia ya kulipa deni,” alisema Kisena na kuongeza: “Pia si vyema kuhusisha hatua hiyo na masuala ya Udart na BRT, haya ni mambo mawili yasiyohusiana. Kila moja liko katika uendeshaji wake na hata kisheria, kampuni inapokuwa na matatizo mali zinazoshikiliwa ni zile zinazohusiana na kampuni husika.
Akifafanua kuhusu deni hilo, Kisena alisema lilitokana na kampuni kukopa TIB mwaka 2008 kutokana na ununuzi wa kiwanda kilichokuwa mali ya Nyanza Cooperative Union (NCU) ambacho awali walikuwa wakikiendesha kwa kukikodisha.
Alisema katika mkopo huo walichangia Sh milioni 300 na TIB Sh bilioni 2.8. Alisema hata hivyo, mwaka huo 2008 kulitokea mdororo wa uchumi ambao ulisababisha kushuka kwa biashara kutokana na bei kuwa chini na pia kukosekana kwa malighafi kutokana na NCU na Chama cha Ushirika Mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) kusimamisha uzalishaji wake.
Juzi katika vyombo vya habari NexLaw ilisema kuanzia Oktoba 11, mwaka huu TIB imewateua wanasheria Ayoub Matafya na Nuhu Mkumbukwa kuwa wasimamizi wa Simon Group Ltd kutokana na mkopo huo wa mwaka 2008.
http://habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/16323-simon-group-walalamika-ufilisi-wa-tib
Tatizi nyie wakenya siku hizi mmeishiwa point. Zaidi sana mmekuwa na wivu wa kike.
Yaani hamuamini kabisa yale yanayotokea TZ. Yaani furaha yenu kuona TZ inakwama.
Na kwa taarifa tu TZ ndani ya miaka 2 2016 na 2018 midomo yenu mtafunga na mtaanza kuzamia kuja TZ.
Huku kwetu hua hatupigwi cha juu unashangaa kuona sisi nauli bei rahisi ? Huku kwetu life rahisi ndio maana mnazamia maana hela unayotumia kununua maji ya kunywa huko kwenu Kenya huku sisi unaitumia siku nzima kula na mishemishe yote.endeleeni kuibiwa mshazoea15 ksh hata kijijini kwetu hutopata matatu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 15kshs Hata Nakuru hautapanda boda 1km
lazma uchumi ukue bana, mambo ya kuuziana vitu bure bure haileti maendeleo yoyote..Huku kwetu hua hatupigwi cha juu unashangaa kuona sisi nauli bei rahisi ? Huku kwetu life rahisi ndio maana mnazamia maana hela unayotumia kununua maji ya kunywa huko kwenu Kenya huku sisi unaitumia siku nzima kula na mishemishe yote.endeleeni kuibiwa mshazoea
Huku kwetu hua hatupigwi cha juu unashangaa kuona sisi nauli bei rahisi ? Huku kwetu life rahisi ndio maana mnazamia maana hela unayotumia kununua maji ya kunywa huko kwenu Kenya huku sisi unaitumia siku nzima kula na mishemishe yote.endeleeni kuibiwa mshazoea
Nadhan kama hujaelewa basis utakuwa zumbukuku umeambiwa sio mradi Bali umiliki Wa hisa za simon ambao ndo walikuwa waendeshaji. Kwa hiyo kila faida iliyopaswa iwe inakwenda simon group itakuwa inachukuliwa na tib na ile ambayo inatakiwa iende kwa serikali itaenda kama zaman. OK kwa njia nyingine wakiamua kuuza watachouza ni hisa tu wala so basi au hata yard moja ya magari haitaguswa mpaka waconsult na wenyehisa waliobaki. Ambao ndo serikali. Njia nyingine ya kukusaidia tu hata hiyo tib ni ya serikali naona wameamua kuchukua kwa namna nyingineHata ukijitetea how does this go into a receivership its not even 7months since!!!
Hautaruka story!!
Haaha nisaidie tket ya matatu ili nithibitishe15 ksh hata kijijini kwetu hutopata matatu.
Haaha nisaidie tket ya matatu ili nithibitishe
Mbona wanazamia sana tu mkuu hata sasa, huwaoni?Tatizi nyie wakenya siku hizi mmeishiwa point. Zaidi sana mmekuwa na wivu wa kike.
Yaani hamuamini kabisa yale yanayotokea TZ. Yaani furaha yenu kuona TZ inakwama.
Na kwa taarifa tu TZ ndani ya miaka 2 2016 na 2018 midomo yenu mtafunga na mtaanza kuzamia kuja TZ.