KAMPUNI MABASI YA DAR TANZANIA

KAMPUNI MABASI YA DAR TANZANIA

Hahahahaha Receivership tayari???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] has it even been a year since ??? Where is geza ??? Hamna consumer market huko TZ???? I THOUGHT DAR WAS THE MOST POPULATED CITY IN EA ....mbona mabasi 51 zinawekwa receivership?
Hehehe noma
 
Mabasi 51 umetoa wapi hiyo? Unajitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Hata kama ni mia mbili how does a parastatal go into receivership less than A year since inception [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] peleka ujamaa mbali
 
Imagine, jamaa wabahili, most of these Bongos can't survive in Nairobi aki. Washazoea daladala chafu ambazo wao hulipia nauli ya 300Tshs, ukiwaletea vyombo vya kisasa vyenye ustaarabu ambavyo unafaa ulipie wanalalamika hadi kuzimu. Halafu la kushangaza unakuta hata middle class wa Tanzania na wao wapo humo wanalalamika.

Hizi hapa ndio zao, hizo za 300Tsh about 15Ksh, unakuta hata wenye hela wabahili wanabanana humo...

daladala.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 15kshs Hata Nakuru hautapanda boda 1km
 
Hata kama ni mia mbili how does a parastatal go into receivership less than A year since inception [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] peleka ujamaa mbali
Parastatal (shirika la umma) ni nani hapo? Mradi wa mabasi ya mwendokasi unamilikiwa na serikali kwa 49% na UDART (kampuni binafsi inayomilikiwa na Simon group) kwa 51%. Hao Simon Group wanadaiwa na benki, TIB na mkopo huo hauhusiani kwa lolote na mradi wa mabasi ya mwendokasi.
Tunawaelewesha ila mnajifanya vichwa ngumu ili kujifurahisha, mtakufa na vijiba vyenu vya roho.

Simon Group walalamika ufilisi wa TIB
KAMPUNI ya Simon Group Ltd imesema imesikitishwa na hatua ya Benki ya Maendeleo (TIB) kutangazwa kuwekwa chini ya ufilisi kutokana na mkopo wa kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu za pamba cha New Era Cotton Oil Mill cha jijini Mwanza wakati kulikuwa na majadiliano ya kulipa mkopo wa Sh bilioni 2.8.
Aidha, imesema si sahihi kuihusisha hatua hiyo na biashara zake, ikiwamo Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (Uda) ambayo ina hisa nyingi katika mradi wa mabasi ya haraka katika Jiji la Dar es Salaam (Udart); ikisema kila kampuni inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na inapodaiwa, mali hukamatwa zile zinazohusiana na kampuni husika.
Mkurugenzi Mtendaji wa Simon Group Limited, Robert Kisena alisema jana Dar es Salaam kuwa yalikuwapo majadiliano ya kulipa mkopo huo ambayo yalifikia mahali pazuri Mei mwaka huu na kwamba mara zote, kampuni hiyo imekuwa tayari kulipa mkopo huo na imeshangazwa na hatua ya TIB kuiweka chini ya uangalizi wa Kampuni ya Uwakili ya NexLaw kama njia ya kuelekea kuifilisi kampuni hiyo.

“Hatujawahi na wala hatuna mpango wa kukataa kulipa deni hili. Kampuni imekuwa katika mazungumzo na TIB ya kulipa deni hilo na yalifikia mahali pazuri, hivyo tumeshangazwa na hatua iliyochukuliwa ambayo inaweza kuonesha kuwa hatuna nia ya kulipa deni,” alisema Kisena na kuongeza: “Pia si vyema kuhusisha hatua hiyo na masuala ya Udart na BRT, haya ni mambo mawili yasiyohusiana. Kila moja liko katika uendeshaji wake na hata kisheria, kampuni inapokuwa na matatizo mali zinazoshikiliwa ni zile zinazohusiana na kampuni husika.

Akifafanua kuhusu deni hilo, Kisena alisema lilitokana na kampuni kukopa TIB mwaka 2008 kutokana na ununuzi wa kiwanda kilichokuwa mali ya Nyanza Cooperative Union (NCU) ambacho awali walikuwa wakikiendesha kwa kukikodisha.

Alisema katika mkopo huo walichangia Sh milioni 300 na TIB Sh bilioni 2.8. Alisema hata hivyo, mwaka huo 2008 kulitokea mdororo wa uchumi ambao ulisababisha kushuka kwa biashara kutokana na bei kuwa chini na pia kukosekana kwa malighafi kutokana na NCU na Chama cha Ushirika Mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) kusimamisha uzalishaji wake.

Juzi katika vyombo vya habari NexLaw ilisema kuanzia Oktoba 11, mwaka huu TIB imewateua wanasheria Ayoub Matafya na Nuhu Mkumbukwa kuwa wasimamizi wa Simon Group Ltd kutokana na mkopo huo wa mwaka 2008.
http://habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/16323-simon-group-walalamika-ufilisi-wa-tib
 
Hata ukijitetea how does this go into a receivership its not even 7months since!!!

Hautaruka story!!
 
Kichwa chako ni kigumu kiasi hicho ama ndio umeamua kubisha tu? Simon Group ndio ipo under receivership kutokana na deni lao la mwaka 2008 na sio UDART. Mradi wa mabasi ya mwendokasi hautaathiriwa kwa vyovyote na hatua hiyo.
Nimeshafunga mjadala kuhusu hili suala, kama umeamua kubisha endelea tu ili ujifurahishe.
mkl.jpg
 
Wakenya wanawivu wakike Sana,, kila kitu tunachofanya wanataka kucompare , yaani hawataki kuamini kuwa dar es salaam ni developing city and Nairobi is stagnant city,hata daraja letu la kigamboni walianza kuwadanganya wazungu eti nilao,yaani vtu vizuri vyote wanataka viwe vyao,wanataka kujicompare mpaka na wazungu ,Sasa njoo kwenye uongo na utapeli ndio wana masters,, Tanzanian we living our own life style.

Kameze wembe We mla Albino.Kike ni wewe jambazi kabisa.Do you have to mention Kenya in your sour nasty flimsy and lazy arguments.Get a life.
 
Tatizi nyie wakenya siku hizi mmeishiwa point. Zaidi sana mmekuwa na wivu wa kike.

Yaani hamuamini kabisa yale yanayotokea TZ. Yaani furaha yenu kuona TZ inakwama.

Na kwa taarifa tu TZ ndani ya miaka 2 2016 na 2018 midomo yenu mtafunga na mtaanza kuzamia kuja TZ.
 
Parastatal (shirika la umma) ni nani hapo? Mradi wa mabasi ya mwendokasi unamilikiwa na serikali kwa 49% na UDART (kampuni binafsi inayomilikiwa na Simon group) kwa 51%. Hao Simon Group wanadaiwa na benki, TIB na mkopo huo hauhusiani kwa lolote na mradi wa mabasi ya mwendokasi.
Tunawaelewesha ila mnajifanya vichwa ngumu ili kujifurahisha, mtakufa na vijiba vyenu vya roho.

Simon Group walalamika ufilisi wa TIB
KAMPUNI ya Simon Group Ltd imesema imesikitishwa na hatua ya Benki ya Maendeleo (TIB) kutangazwa kuwekwa chini ya ufilisi kutokana na mkopo wa kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu za pamba cha New Era Cotton Oil Mill cha jijini Mwanza wakati kulikuwa na majadiliano ya kulipa mkopo wa Sh bilioni 2.8.
Aidha, imesema si sahihi kuihusisha hatua hiyo na biashara zake, ikiwamo Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (Uda) ambayo ina hisa nyingi katika mradi wa mabasi ya haraka katika Jiji la Dar es Salaam (Udart); ikisema kila kampuni inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na inapodaiwa, mali hukamatwa zile zinazohusiana na kampuni husika.
Mkurugenzi Mtendaji wa Simon Group Limited, Robert Kisena alisema jana Dar es Salaam kuwa yalikuwapo majadiliano ya kulipa mkopo huo ambayo yalifikia mahali pazuri Mei mwaka huu na kwamba mara zote, kampuni hiyo imekuwa tayari kulipa mkopo huo na imeshangazwa na hatua ya TIB kuiweka chini ya uangalizi wa Kampuni ya Uwakili ya NexLaw kama njia ya kuelekea kuifilisi kampuni hiyo.

“Hatujawahi na wala hatuna mpango wa kukataa kulipa deni hili. Kampuni imekuwa katika mazungumzo na TIB ya kulipa deni hilo na yalifikia mahali pazuri, hivyo tumeshangazwa na hatua iliyochukuliwa ambayo inaweza kuonesha kuwa hatuna nia ya kulipa deni,” alisema Kisena na kuongeza: “Pia si vyema kuhusisha hatua hiyo na masuala ya Udart na BRT, haya ni mambo mawili yasiyohusiana. Kila moja liko katika uendeshaji wake na hata kisheria, kampuni inapokuwa na matatizo mali zinazoshikiliwa ni zile zinazohusiana na kampuni husika.

Akifafanua kuhusu deni hilo, Kisena alisema lilitokana na kampuni kukopa TIB mwaka 2008 kutokana na ununuzi wa kiwanda kilichokuwa mali ya Nyanza Cooperative Union (NCU) ambacho awali walikuwa wakikiendesha kwa kukikodisha.

Alisema katika mkopo huo walichangia Sh milioni 300 na TIB Sh bilioni 2.8. Alisema hata hivyo, mwaka huo 2008 kulitokea mdororo wa uchumi ambao ulisababisha kushuka kwa biashara kutokana na bei kuwa chini na pia kukosekana kwa malighafi kutokana na NCU na Chama cha Ushirika Mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) kusimamisha uzalishaji wake.

Juzi katika vyombo vya habari NexLaw ilisema kuanzia Oktoba 11, mwaka huu TIB imewateua wanasheria Ayoub Matafya na Nuhu Mkumbukwa kuwa wasimamizi wa Simon Group Ltd kutokana na mkopo huo wa mwaka 2008.
http://habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/16323-simon-group-walalamika-ufilisi-wa-tib
Unapoteza muda wako kuwaelimisha, wakenya ni sikio la kufa, halina dawa.
 
Tatizi nyie wakenya siku hizi mmeishiwa point. Zaidi sana mmekuwa na wivu wa kike.

Yaani hamuamini kabisa yale yanayotokea TZ. Yaani furaha yenu kuona TZ inakwama.

Na kwa taarifa tu TZ ndani ya miaka 2 2016 na 2018 midomo yenu mtafunga na mtaanza kuzamia kuja TZ.

If that makes you happy so be it....Good night
 
A bank cant just decide to go for anything you own because you cant pay a loan, there must be something that you provided as security guarantee.. so if the bank is going for Dart to repay its loan then that Simon group must have made a very bad financial decision.... i mean the whole reason why ppl call there companies ( * group) is so that a company can haveany branches and subsidieries in which one branch cannot be held liable for the decision of another branch.... if one branch of the group takes a loan and cant pay back, then only that branch is liable, tge bank shouldnt be able to go for another branch unless that was what was agreed
 
15 ksh hata kijijini kwetu hutopata matatu.
Huku kwetu hua hatupigwi cha juu unashangaa kuona sisi nauli bei rahisi ? Huku kwetu life rahisi ndio maana mnazamia maana hela unayotumia kununua maji ya kunywa huko kwenu Kenya huku sisi unaitumia siku nzima kula na mishemishe yote.endeleeni kuibiwa mshazoea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 15kshs Hata Nakuru hautapanda boda 1km
 
Huku kwetu hua hatupigwi cha juu unashangaa kuona sisi nauli bei rahisi ? Huku kwetu life rahisi ndio maana mnazamia maana hela unayotumia kununua maji ya kunywa huko kwenu Kenya huku sisi unaitumia siku nzima kula na mishemishe yote.endeleeni kuibiwa mshazoea
lazma uchumi ukue bana, mambo ya kuuziana vitu bure bure haileti maendeleo yoyote..

inflation ya kenya june 2016 ilikua 5.7% na ya Tanzania ilikua 5.2% , kwahivyo si kuhusu hali ya maisha kiuchumi.... lakini haifai kumaanisha kila kitu kiwe karibu bure... hakuna mtu atafaidika.... kama unalipa nauli ya chini, inamaanisha utalipwa mshahara wa chini.... yule atakae faidika kwa kweli ni kampuni inayokuajiri, mama mboga atakua anakula loss, mama ntilie naye pia, kampuni ya mabasi nayo pia inakula loss
 
Huku kwetu hua hatupigwi cha juu unashangaa kuona sisi nauli bei rahisi ? Huku kwetu life rahisi ndio maana mnazamia maana hela unayotumia kununua maji ya kunywa huko kwenu Kenya huku sisi unaitumia siku nzima kula na mishemishe yote.endeleeni kuibiwa mshazoea

Hayo ni maisha ya umaskini na kubebana na ndio athari za ujamaa, inalemaza hata uwezo wa kutumia akili. Haifai kila kitu utegemee kiwe cha bei ya chini halafu bado unataka huduma bora. Lazima umpe mwanabiashara uhuru wa kupiga mahesabu yake bila kukandamizwa, japo kwa kuhakikisha naye hatumii hiyo fursa kunyanyasa.

Unakuta mwenye daladala kaliachia hadi linakua chakavu maana faida anayopata ni kidogo sana, linakua chakavu na chafu na la kushangazaa Watanzania hadi hata wale wa kipato cha kati wote wanang'ang'ania na kubanana ndani ya hayo madaladala kisa alipe 300Tshs (15Kshs). Ukipenda kuishi maisha ya kimaskini/ujamaa na ubahili bila kupenda kutumia hela, ndivyo utakavyokua.

Jamaa kapiga suti ya bei, jinsi alivyovaa inadhihirisha ana kipato kizuri, lakini amebanana na wamama wauza samaki wa Kivukoni, humo ndani ya daladala chafu, linanuka halafu uongeze na joto ya Dar na foleni/jam ya kufa mtu. Eti anakwenda ofisini au kikao sehemu. Lakini hataki kulipa zaidi ya 300Tsh (15Ksh)
 
Hata ukijitetea how does this go into a receivership its not even 7months since!!!

Hautaruka story!!
Nadhan kama hujaelewa basis utakuwa zumbukuku umeambiwa sio mradi Bali umiliki Wa hisa za simon ambao ndo walikuwa waendeshaji. Kwa hiyo kila faida iliyopaswa iwe inakwenda simon group itakuwa inachukuliwa na tib na ile ambayo inatakiwa iende kwa serikali itaenda kama zaman. OK kwa njia nyingine wakiamua kuuza watachouza ni hisa tu wala so basi au hata yard moja ya magari haitaguswa mpaka waconsult na wenyehisa waliobaki. Ambao ndo serikali. Njia nyingine ya kukusaidia tu hata hiyo tib ni ya serikali naona wameamua kuchukua kwa namna nyingine
 
Tatizi nyie wakenya siku hizi mmeishiwa point. Zaidi sana mmekuwa na wivu wa kike.

Yaani hamuamini kabisa yale yanayotokea TZ. Yaani furaha yenu kuona TZ inakwama.

Na kwa taarifa tu TZ ndani ya miaka 2 2016 na 2018 midomo yenu mtafunga na mtaanza kuzamia kuja TZ.
Mbona wanazamia sana tu mkuu hata sasa, huwaoni?
 
Back
Top Bottom