KAMPUNI MABASI YA DAR TANZANIA

Nadhan umeng'aka kwenye bei tu. Ukasahau kila nchi inautaratibu wake. Tukisema kwamba hatununui magar ya ukweli kwa sabab hatuna uwezo Wa kulipa pia ukubali pia kuna haohao watz wana marcopolo paradiso 1800dd zambia. Sheria za kwetu ni tofaut na za kwenu. Mfano kuna urefu ukizid basis gar lako utalipunguza pia kuna ishu ya mizan. Kwenye ishu ya transportation hasa road watz tumejitahid sana tena mpaka nchi za wenzetu tumekata. Mfano msumbiji almost ya northern area imekamatwa tz ten MTU mbili lakin mnaojiita hardworkers zaid ya kuona mnakuwa watumishi na wauza uchi nchi za wenzenu. Kama mnabisha nipen investment ya maana inayomilikiwa na black Kenyan kama kina njoroge,muthon,njeri,kipsoi,
 
Walaa asikubabaishe mwambie alete risit ya zzile matatu zao za nairobi
 

Hehehe Naona nimekugusa pabaya kwa jinsi unavyokurupuka na kutokwa povu na kubadili gia hadi sielewi unachokiongea kuhusu.
Mambo ya investment za Waafrika weusi Kenya sina haja ya kuhangaika maana tulishawapa data za kutosha, unaweza ukatafuta mwenyewe.
 
Hahaaa labda sikuwepo anyway sijawahi sikia malalamiko kuhusu luxury buses za kwetu lakin kule TripAdvisor wanayaponda sana mabus yenu kuwa yanakutu na cockroaches sass na hiyo nauli yenyewe HIV Nairobi Mombasa ni km ngap kwa ksh1400 na unaambulia siti chini kuna kutu. Wakat kwetu dar Dom almost km500 kwa tsh 35000 na msosi juu
 
Bora nilipe kidogo ila nipate huduma za ukweli ndo maana tahmeed kwa kujua hatutaki panya kawachia hukohuko majeneza yenu huku full kipupwe
 

Eti kutu, hivi unayajua mabasi ya Mombasa - Nairobi wewe, hehehehe!! Naona nabishana na mtu ambaye hajatoka kwenye mabanda ya Dar, kwaheri, sipotezi muda tena....

Japo itabidi nikuachie mapicha kadhaa ya mabasi ya Mombasa-Nairobi, labda yatakuamsha










 
Hehehe,
Mk254 wewe I am sure100% unaishi zaidi bongo kuliko Kenya, na I am sure totoz za kibongo na maisha ya kibongo yamekubamba sana.
Unajua kwenye usafiri wa mabasi hachomoki, tupo mbali sana, sana..

Ngoje niwape mapicha kadhaa hapa hao jamaa zako wa kilifi waone jinsi bongo kuzuri,
Either safiri kwenda Arusha (the A city) au Mbeya (the Green City), au Mwanza (the rock city), au Dodoma (mjengoni), au Tanga jiji la Maraha, au Tabora, au Iringa, au Kigoma mwisho wa reli, kote kote tz ni raha tupu..

In fact Kenya inazidi tz kwa GDP tu!!
Furahia hizi picha za baadhi ya usafiri luxury wa buses kwenda mikoani..


Unataka nyingine,
Karibu wikendi. Tupo Morogoro mji kasoro bahari Leo.
 

Siishi Bongo ila nimetembelea mikoa yenu mingi zaidi ya wengi wenu. Nayajua mabasi yenu vizuri tu.. Japo hamwezi kufikia level ya Mombasa to Nairobi buses.

Vipi Moro kwa Wapogolo, wape salamu zangu akina Afande Sele na pia mzee Makamba babake January Makamba. Alinipa darasa kuhusu mengi kwa maisha.
Maeneo yangu yalikua hapo Msamvu, huo mji una dhambi nyingi sana japo kimya kimya.
 
Hiyo picha ya interior umetoa kwa picha ya Tahmeed Coach ambayo inapiga route ya Malindi-Mombasa-Nairobi





Wow: Is This Nairobi – Mombasa Bus The ‘first 5 Star Bus’ In Kenya (photos)



BTR pia tunakuja tu


 
BTR pia tunakuja tu


[/QUOTE]

Mkuu kwa hiyo video public transport system in nairobi is pathetic. Poleni sana aisee.
Kuna watu including myself tulikosoa sana BRT dar kwamba that amount of money we should've built flyovers, but now I realize kikwete alicheza karata dume.

Halafu BRT isn't only having buses in the city my friend, it has to meet certain conditions. They say a true BRT system must have a specialized design, services and infrastructure..
Like the one we have in Dar.
BRT is a nice thing to decongest cities,
Lazima mjenge miundombinu yake na sio buses only,
 
BTR pia tunakuja tu



Mkuu kwa hiyo video public transport system in nairobi is pathetic. Poleni sana aisee.
Kuna watu including myself tulikosoa sana BRT dar kwamba that amount of money we should've built flyovers, but now I realize kikwete alicheza karata dume.

Halafu BRT isn't only having buses in the city my friend, it has to meet certain conditions. They say a true BRT system must have a specialized design, services and infrastructure..
Like the one we have in Dar.
BRT is a nice thing to decongest cities,
Lazima mjenge miundombinu yake na sio buses only,[/QUOTE]


First you need to understand that almost all buses you see in the nairobi metro region are assembled in kenya, the bodies of the buses are completely made locally.... So there is a whole economy of many bisinesses and industries behind the matatu culture in kenya.... Thats why there is so much resistance to put public transport in the hands of the government...


then you should also know that bus you see their was bought by that company to pressure the government to create dedicated lanes for those long buses..... it wasnt bought just to be driven in regular traffic..

there are dedicated lanes bieng constructed in new roads and expressways led by outering road, and it will be bigger and better than yours... besides that, once the SGR phase 1 is 100% complete, there is a light rail project awaiting to be launched to cinnect to all nairobi metro region... hakuna mtu atakua anaeza tuambia lolote!
 
Hayakuhusu. Kenya sio tz sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…