Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,161
Hivi kumbe ile miheneza imebakia kenya. Ndo maana siku hizi haiji TANZANIABora nilipe kidogo ila nipate huduma za ukweli ndo maana tahmeed kwa kujua hatutaki panya kawachia hukohuko majeneza yenu huku full kipupwe
Mkuu unaweka maloli unajisifia. Kwa swala la usafiri wa mabasi kenya mtasubili sanaEti kutu, hivi unayajua mabasi ya Mombasa - Nairobi wewe, hehehehe!! Naona nabishana na mtu ambaye hajatoka kwenye mabanda ya Dar, kwaheri, sipotezi muda tena....
Japo itabidi nikuachie mapicha kadhaa ya mabasi ya Mombasa-Nairobi, labda yatakuamsha
Yaani mnajisifia karoute kamoja ka nairobi - mombasa. Hivi mombasa si iko karibia na Tanga. Ndo maana inamabasi angalau. Onyesha ile kitu inaenda mpkani na somalia tuone.Siishi Bongo ila nimetembelea mikoa yenu mingi zaidi ya wengi wenu. Nayajua mabasi yenu vizuri tu.. Japo hamwezi kufikia level ya Mombasa to Nairobi buses.
Vipi Moro kwa Wapogolo, wape salamu zangu akina Afande Sele na pia mzee Makamba babake January Makamba. Alinipa darasa kuhusu mengi kwa maisha.
Maeneo yangu yalikua hapo Msamvu, huo mji una dhambi nyingi sana japo kimya kimya.
Tahamed imebadilikia Tanzania. Baada ya kuona mingalangala yake watu hawapandi. Shukrani ziende kwa RATCO na makampuni mengine yaliyoleta luxury bus za kwenda mombasa. Maana Tahamed aligoma kubalika. Sisi tukaamu kumbadilisha. Tanzania sio nchi ya mchezo mchezo bwanaHiyo picha ya interior umetoa kwa picha ya Tahmeed Coach ambayo inapiga route ya Malindi-Mombasa-Nairobi
View attachment 422467
Wow: Is This Nairobi – Mombasa Bus The ‘first 5 Star Bus’ In Kenya (photos)
BTR pia tunakuja tu
Haya wakenya [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Not true kafrican, that's shabiby VIP bus,
Operating Dodoma -dar
View attachment 422476View attachment 422477View attachment 422478View attachment 422479
www.thecitizen.co.tz/News/Rare--planes--on-Tanzania-roads/1840340-2807806-jnrm01/index.html
BTR pia tunakuja tu
Haina mvuto hata kudogo[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]kama trey songz mwenyewe alikubali
View attachment 422584 View attachment 422589 View attachment 422592
Inabidi wafanye Farmington kwanza kwenye magari yao.Some of these guys are just being so great to what is otherwise pathetic. Nini cha kukubalika hapo? Trucks heavily infested with kungini? Come on, get back to your sense.
Kenya ni nchi ya ajab sana...malighafi na mapato vyoote viliwekezwa only Nairobi...ukishamaliza nairobi tu ukazunguka nchi nzima kwingineko huwez taman kuishi kenya...barabara ni vumbi, maeneo mengi ni nyika, maisha magumu nikisema magumu hakuna kifani..Kenya acheni sifa za mitandaoniHawa ndio zao, ujamaa uliwaadhiri sana, hayo mabasi yapo tu kama msaada wa serikali kwa raia, nauli yenyewe walilia sana wailoptajiwa watalipa 1,000Tshs kama 50Kshs hivi halafu umbali wenyewe kwa nauli pesa ndogo hivyo.
Watanzania hamwezani na maisha ya ubepari wakati bado mnataka mubebwe kama mlivyozoea kipindi cha ujamaa. Mnataka kuiga Kenya lakini bado mnataka muishi kiujamaa. Sisi tunatumia hela ili kufanikisha mnayoyaona haya.
Ona sasa, serikali yenu imeingia gharama kubwa sana kufanikisha huo muundo mbinu, lakini nyie ni wale wale tu. Wengine hata mlikua mnakojoa kwenye hivyo vituo, ilhali wengine mnadunga dunga wanawake na kuwachafua. Mswahili aishi uswazi tu hamna namna, asije kwenye mataa ya mjini...hehehehe!!
lazma kampuni igeuke nyumbani mwanzo, mambo ya luxuru coaches huku yalianza mwaka wa 2009, kama unafikiri competion ni kali dar, njoo nairobi utajua competition ni nini, niambie ni kampuni ngapi za ma basi zimeweza kupenya East Africa nzima za kutika dar compared to za kutoka kenya...... Huku kenya competion ndo order of the dayTahamed imebadilikia Tanzania. Baada ya kuona mingalangala yake watu hawapandi. Shukrani ziende kwa RATCO na makampuni mengine yaliyoleta luxury bus za kwenda mombasa. Maana Tahamed aligoma kubalika. Sisi tukaamu kumbadilisha. Tanzania sio nchi ya mchezo mchezo bwana
You only need 1 person to bring a bedbug into your bus... thats it... huku kenya kulikua na outbreak miaka ya 2010... magari mengi ilibidi yakue fumigated na hio shida ikapotelea mbali.....Inabidi wafanye Farmington kwanza kwenye magari yao.
Nenda kajifunze kusema "Malori na mtasubiri" wala si maloli na mtasubili....Kaanze hapo kwanza.Mkuu unaweka maloli unajisifia. Kwa swala la usafiri wa mabasi kenya mtasubili sana
Kwetu maajabu ila kwenu huko mmeshazoea ni hali ya kawaida kabisa na wala hamshtukiya 2015
Hivi majuzi nilibahatika kuzunguka baadhi ya mikoa ya Tanzania Bara/Tanganyika kwa kutumia usafiri wa mabasi ya abiria.
Cha kusikitisha basi moja la kampuni fulani nililopanda lilikuwa na kungunguni wengi ajabu. Kunguni wale hawakuwa na aibu walikuwa wanatoka kwenye ma'cover'/foronya ya/za viti vya basi hilo na kung'ata mchana kweupe.
Wakati tunaanza safari hiyo basi lilikuwa halijajaa, Baada ya kuwastukia kunguni wale kwenye siti yangu nikaamia kwenye kiti/siti nyingine, kule ndo nikakumbana na kunguni watoto lakini 'barubaru' kwa kung'ata, Nikarudi kwenye siti yangu ya awali.
Sikuvumilia kung'atwa na kunguni wale bila kulalamika, nilimuita konda kumueleza kero ya kunguni kwenye basi lake. Kwa siri , konda, nikamuonyesha kikosi cha kwanza cha kunguni kilichokuwa kwenye egemo la mgongo wangu waliojibanza karibu na tobo la foronya la siti yangu. Akashtuka 'kiana', alichosema nikuwa basi lile alikabidhiwa jana yake.
Na jana hiyo kazi aliyoanza nayo ni kupambana na mende kwenye basi hilo waliokuwa wengi kiasi cha kutishia abiria kususia basi. Akanihakikishia kuwa na hao mende hakuwamaliza vizuri.
Mwisho wa mazungumzo yetu alimrudikia konda aliyekuwa anasimamia basi hilo hapo awali kwa usumbufu huo. Nilichokifanya, tulipofika sehemu ya kuchimba dawa, mimi nilishuka kwenye basi hilo na kwenda kuchimba namba za gari/basi hilo maana walikuwa hawajaandika namba za basi hilo kwenye tiketi/risiti ya nauli ya basi.
Nilisafiri kwenye basi hilo nikiwa roho juu, ingawa haikuwa mara yangu ya kwanza kuumwa/ng'atwa na kunguni! Niliwahi kungatwa nilipokuwa shule ya Bweni enzi hizo.
SWALI KWA WADAU:
1. Ni nani anahusika kuwawajibisha, wamiliki, makonda, hata madereva wa mabasi yenye kuhatarisha afya za wasafiri?
2. Mimi kama abira sikunyingine nikikumbania na kadhia ya namna hiyo nikashtaki wapi ili wawajibishwe wahusika kwa uzembe huo?
USHAURI:
Abira wote wa vyombo vya usafiri kuweni makini mnapopanda vyombo hivyo kwa kuhakikisha havina vihataraishi vya afya zenu kama, kunguni, mende, nakadhalika.
Update:
=======
Kama nilivyoahidi: ZUBE TRANS (Moshi-Mwanza), siti namba F1, T954 AHH: nauli 35,000/=
we
Kunguni na Mende ndani ya basi la abiria!
Usijaribu kukimbia story, wakenya ni watu wakorofi, watu wa kuzusha......Kwetu maajabu ila kwenu huko mmeshazoea ni hali ya kawaida kabisa na wala hamshtuki
Hata ukijitetea how does this go into a receivership its not even 7months since!!!
Hautaruka story!!
Danganyikan republicWewe Mkenya nyang'au tulia. Huna Hata mahali pa kuishi unajadili mambo ya wanaume.
Unatamani sana ungezaliwa mtz lakini ndio hivyo tena umezaliwa nyang'au na kamwe huwezibadili Hilo.
Tuliza kipago!!!!