FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Nani wa kumuoa huyu?
Mtu anashinda jf mda wote unafikiri anamuda hata wa kusafisha injini yake?
Mchafu kuoga huyu.
Sheikh Mohamed Said katika darsa zake anasema ukiona mtu anaanza kutukana ujuwe umemshinda kwa hoja.
Hoja yangu inabaki palepale, Mheshimiwa angetumia Kiswahili kufikisha ujumbe wake, Kiingereza hakijui kukiandika ipasavyo. Kama ni yeye aliyeandika, mpaka sasa nashindwa kukubali.