Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,935
- 1,185
faiza foxy umeolewa?
Nani wa kumuoa huyu?
Mtu anashinda jf mda wote unafikiri anamuda hata wa kusafisha injini yake?
Mchafu kuoga huyu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
faiza foxy umeolewa?
Umekosa hoja inanivaa mimi, hapo ndiyo unapoonesha kuwa ujana wako hauna faida wala maana. Mie ndiyo FF, Golden Age, utaniona hivi hivi, na wenzako wanafunguwa ma nyuzi ya kunipenda huko, au hujayaoja? Unanchekesha!
Tena kuambiwa mzee ni sifa kubwa kwangu, MashAllah, mzee ambae anakugaragaza kijana mpaka unaishiwa hoja unaanza viroja. Unanshangaza!
Sikisii.
YUKO SERIOUS KAMA ANAVYOSEMA HAPO CHINI
Joseph Mbilinyi
‎...i hear some corrupted employees r helping some people to hack my phone...beware phone company, coz im gonna sue u with a foreign lawyer whom u cant corrupt...im serious!!!
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
faiza foxy umeolewa?
Nimeowa!
Hiyo kijana ni typing mistake na si kutokujuwa, tazama i na u ziko wapi kwenye keyboard, lakini umesoma ya Mheshimiwa huko juu?
Shame on you, na bado mtatumika sana na mwisho kutupwa kama kondom.Ukiwa mbunge unapata hadhi ya Uheshimiwa na ukiwa Mheshimiwa unatakiwa ujumbe unaoutowa siku zote uwe wa heshima na unafanana na hadhi yako, si huu ulioletwa hapa mpaka sasa nashindwa kuamini kama hii kitu kaandika Mheshimiwa Sugu, Mbunge wa Jiji la Mbeya.
Shame on you, na bado mtatumika sana na mwisho kutupwa kama kondom.
Typing mistake= typing error...pitia common mistakes in English
Kwa kweli umeowa maana huyu mume wako atakuwa anapata taabu sana,maana wewe kila siku na akina Mwigulu Nchemba,Lusinde na baba lao ******....nadhani umeowa kazi yako kushinda JF tangu asubuhi mpaka linatua na unaandika uharo tu hapa...
Namuonea huruma mume wako..kapata mke punguani,atapata watoto punguani ataleta kizazi kama cha akina Livingstone Lusinde mbunge wa Mtera....
Ndiyo, nilijua tu hapa issue ni kupinga chadema na wala siyo English ya Sugu. Na correction huwa unafanya kwa wabunge wa cdm tu. Shame on you.Hapa huna pakutokea bora wenzako wameamuwa kumtambuwa Rais waliemsusa.
mbona kaeleweka ,stop hating..isitoshe ni kwenye facebook sio kwenye press conference au bungeni
Hujawaambia bado wanajamvi,naomba uwaweke wazi.kwani kukubali wewe ni mzee ni dhambi?
Nipo kwenye mchakato wa kuwashinikiza ma mods wakufungulie jukwaa lako(la wazee) mana wewe ni bibi yangu lakini unajifanya kijana.
Mzee upo?
Usije nipa laana mana wazee kwa kuloga hamjambo.
Kumbe Ubunge ni kiingereza! nilikuwa sijui, hata bunge la china wanaongea kiingereza.