Kampuni moja ya simu kupitia wafanyakazi wake wa hack simu ya sugu.....

Kampuni moja ya simu kupitia wafanyakazi wake wa hack simu ya sugu.....

Hilo ujuzi linajulikana wai kuwa ni typographical error na si kuto kujuwa, hayo mengine hebu yatamke kwa sauti halafu yaandike unavoyatamka, uone vipi ni sawa.

hebu angalia contradictions zako, ulipoandka ujizi badala ya ujuzi hiyo ni typographical error au spelling/typing error!!?
 
Mbona hauelezi ukweli?
Kama wewe ni mzee?
Na type yako ni wazee?

Ombi: mods naomba muanzishe jukwaa la wazee maana ligi na bibi zetu ni kujilaanisha.

Hahahahahahahahahahaha jaman nimecheka si kidogo..!! Faiza bwana ni whisho,kwanza kibishiiiiiiiiiiiiiiii, uso umekakauka, kinajifanya kinajua kila kitu utafikiri wikipedia! ukibishana nacho unapoteza muda wako tu
 
Hapo ndipo nakuona hata wewe Kiingereza bado hujakomaa. Nakumba "google" tena upate elimu, kwa kuanzia soma hapa chini halafu fananisha na bilichokueleza mimi ambacho unasema ni "irrelevant" :

A typographical error (often shortened to typo) is a mistake made in, originally, the manual type-setting (typography) of printed material, or more recently, the typing process. The term includes errors due to mechanical failure or slips of the hand or finger,[SUP][1][/SUP] but usually excludes errors of ignorance, such as spelling errors. Before the arrival of printing, the "copyist's mistake" or "scribal error" was the equivalent for manuscripts. Most typos involve simple duplication, omission, transposition, or substitution of a small number of characters

soma zaidi: Typographical error - Wikipedia, the free encyclopedia

Nilikuambia mimi huwa sikisii, wewe hunielewi, lakini napenda kwa kuwa unapa elimu kwa ubishi wako.

Kumbuka yule Mheshimiwa hakufanya "typographical error" hiyo niliifanya mimi, yeye zaidi ya kukosea hata "grammar" kakosea pia "spelling" au kafanya "spelling error" ambayo ni kosa la kuwa "ignorant".

pole sana pamoja na kugoogle sana bado umeshindwa kupata concept, tena hapo kwenye red ndo pamekuchanganya kabisa, ukiweza kujua maana ya type-setting as related to typography ndipo utakapoweza kujua mechanical failures,slip of the hand or finger zilivokuwa involved, nadhani bado hujapata concept ya ulicho google, umesoma kwa haraka halafu uka copy na ku paste! i am very sorry for you! soma kwa makini halafu uijue process ya typography/type-setting.
 
hebu angalia contradictions zako, ulipoandka ujizi badala ya ujuzi hiyo ni typographical error au spelling/typing error!!?

Hiyo ni typical typographical error au kwa "slang" yake huitwa "fat-finger syndrome", ambayo hata wewe mwenyewe unaona kuwa neno lililokusudiwa ni "ujuzi" na si "ujizi" na ukitazama kwenye "keyboard" utaona kuwa "u" na "i" zipo ubavu kwa ubavu (adjacent). Kumbuka ku "error" ni kukosea na kuandika kama alivyoandika Mheshimiwa Sugu (ambayo mpaka sasa siamini kama ni yeye aliyeandika) ni kutokujuwa (ignorance) Kiingereza vizuri, ni vitu tofauti "kukosa" (to err) na "kutokujuwa" (ignorance).

Na hapa hakuna "contradictions" kama ulivyoandika hicho ni kitu kingine kabisa nacho kama hukijuwi nipo tayari kuendeleza darsa.

Narudia tena, mimi huwa sikisii.
 
pole sana pamoja na kugoogle sana bado umeshindwa kupata concept, tena hapo kwenye red ndo pamekuchanganya kabisa, ukiweza kujua maana ya type-setting as related to typography ndipo utakapoweza kujua mechanical failures,slip of the hand or finger zilivokuwa involved, nadhani bado hujapata concept ya ulicho google, umesoma kwa haraka halafu uka copy na ku paste! i am very sorry for you! soma kwa makini halafu uijue process ya typography/type-setting.

Na hili hukuliona? "or more recently, the typing process" sasa sijuwi kwenye keyboard yako hapo kama haufanyi "typing" sijui unafanya nini?

Nimekwambia hapa hauna pakutokea, hiyo ku "google" ilikuwa katika kukusaidia wewe uelewe, maana huko nyuma kila nnapokufahamisha ni mgumu wa kuelewa, lakini nimekuambia , njia yako ya ubishi kwa kupatia elimu ni nzuri sana na inakusaidia kujuwa mengi, na hapa kwangu utayapata tu, kwani hakuna kitu nnakipenda kama kufundisha na hili la "typographical error" kama hujalielewa bado, ntaendelea kukupa vina, usijali, mimi huwa sichoki kufundisha, kufundisha Kiislaam ni sadaka moja nzuri sana, kwani ujuzi nnaokupa hapa na wewe ukienda kuutowa mbele mimi naongezewa thawabu na zaidi ya thawabu ni kila unavyompa mtu elimu mwenyewe unajiongezea elimu zaidi.
 
Namuomba mheshimiwa ajisajili hapa JF. Wabunge wenzake karibia ya wote wapo hapa JF na huwa wanajitahidi kujikanyaga kanyaga hapa. Naye ni vizuri awe among members wa hapa ili tuweze kupima ukilaza wake vizuri. Siyo akimbilie facebook.
 
Jamani FF ana nia njema tu na mbunge sidhani kama alikuwa na nia ya kumdhalilisha, Kila mtu anakosea kwenye kuandika au kuongea ila suala analosema FF ni 'grammar' na pia aina ya uandishi aliyotumia mara nyingi inatumiwa na vijana katika 'sms chatting' au kwenye 'chat rooms'.

Ni busara kukubali kukosolewa na kujua kwamba wanaotukosowa hawana nia ya kutudhalilisha.
 
hebu angalia contradictions zako, ulipoandka ujizi badala ya ujuzi hiyo ni typographical error au spelling/typing error!!?

Aaaah, nimegunduwa kuwa kinachokupa taabu ni lugha na unachanganyikiwa unapoona "typography" na "Typing", Na fikra zako kuwa "typography ni huko kwenye ma "printing press", la hasha, huko kuna lithography na typography. Na katika "age" hii ya dot com haswa inayotumika unapoongelea matumizi yake kwenye "computer" inatumika sana "typography" zinapoongelewa hizi "fonts" tunazotumia kwa sababu sasa hivi hizi "computer" tunazotumia zina uwezo mkubwa sana wa "typography" kuliko ma "printing press" yaliyokuwa yakitumia "typesetting" na ufanyapo kosa kwenye maandiko ya kompyuta ni vema sana ukatumia neno "typographical error" au kwa kifupi "typo" kuliko kutumia "typing error" ingawa nalo ni sawa lakini lina "limitations". na kwa kukutaka upate faida nakuomba pitia hapa uone kuhusu"typography" ya windows: Microsoft Typography - Free font information, TrueType, OpenType, ClearType na hapa utaipata ya windows 7 : Fonts for Windows

Na kama bado utakuwa hujaelewa usijali, mie nipo. Narudia sikisii.

Na Mheshimiwa hakufanya "typo" mheshimiwa hajuwi kuandika kwa Kiingereza vizuri, kama ni yeye aliyoyaandika yale maneno, mpaka sasa sikubali kama ni yeye aliyeyaandika, hayajaelekea.
 
Mbona hauelezi ukweli?
Kama wewe ni mzee?
Na type yako ni wazee?

Ombi: mods naomba muanzishe jukwaa la wazee maana ligi na bibi zetu ni kujilaanisha.

Uzee uko kwenye mindset, mie sijafikia huko, ni mtu mzima nilio kwenye "golden age" hilo jukwaa la wazee lifunguwe umpeleke babuyo na bibiyo, usinzeeshe babuwee, bado nnadai, unani weyee, mzee kwani hana? au hujuwi kuwa "old is gold"? Unanchekesha!
 
Kikwete anakijuwa Kiingereza huwezi kumkuta hata siku moja kaandika kama huyu mbunge wa magwanda. Au kamsome January, japo na yeye bado kwa kiasi fulani lakini ni bora kwa Kiingereza kuliko huyu kijana, halafu kuongea Kiingereza sio kuandika Kiingereza ni vitu viwili tofauti, kuna hata Waingereza chungu nzima ndio lugha yao mama lakini hawajui kukiandika. Fikiri.

Rejea mahojiano ya Mhe. Rais na Dr. Shaka Ssali baada ya kuhutubia bunge mwaka 2005!
 
Hahahahahahahahahahaha jaman nimecheka si kidogo..!! Faiza bwana ni whisho,kwanza kibishiiiiiiiiiiiiiiii, uso umekakauka, kinajifanya kinajua kila kitu utafikiri wikipedia! ukibishana nacho unapoteza muda wako tu

Hata mie amenchekesha, hawa wasiojuwa halafu wanajidai wanajuwa na hawajuwi ndio wabishi, mimi wala sina cha kuwabishia, soma vizuri nyuzi zangu, nnawapa darsa tu, wao wanakisia mimi sikisii. Halafu ni ukweli haswaaaa, kuwa nnajuwa mengi sana, si kila kitu lakini mengi kuliko hivi vinyangarakata.

Mama juso hilo unaliona limetuna limenawir na hapo halina hata kichembe cha "makeup" unasema "kijuso kimekauka" amma kweli akutukanae hakuchagulii tusi, halafu mrembo ni kwa tabia pia mama si kwa muonekano pekee. Unanshangaza.

Sikisii.
 
Rejea mahojiano ya Mhe. Rais na Dr. Shaka Ssali baada ya kuhutubia bunge mwaka 2005!

Yaweke hapa au nipe link. Usiandikie mate na wino upo. Unanini weyee? Unataka kufananisha hayo maandishi hapo juu na ya Kikwete? Unanchekesha!
 
Wote mliochangia hii thread ni vilaza wa kutupwa tu. Makelele meeengi lakini hakuna hata mmoja aliyeseme makosa ya Sugu yako wapi. Narudia tena wote mliochangia hii thread ni vilaza tu.
 
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.

Nyani haoni kundule. Ulishawahi kuangalia choo chako (mavi) wakati ukijisaidia au pale uapokojoa kuangalia sehemu mkojo unapotokea? Haya tafakari mwenyewe
 
Nyani haoni kundule. Ulishawahi kuangalia choo chako (mavi) wakati ukijisaidia au pale uapokojoa kuangalia sehemu mkojo unapotokea? Haya tafakari mwenyewe

Bado u mtoto hata "Omorashi" huja "experience" bado, ndiyo maana unabwabwaja tu hapa. Ngoja ukuwe na uijuwe ndio uje kuongea huo utumbo wako. Unanchekesha!
 
Wote mliochangia hii thread ni vilaza wa kutupwa tu. Makelele meeengi lakini hakuna hata mmoja aliyeseme makosa ya Sugu yako wapi. Narudia tena wote mliochangia hii thread ni vilaza tu.

Unaonesha bado hujapona vizuri ile Malaria iliyokulaza. Pitia tena hii nyuzi kwa faida yako.
 
Uzee uko kwenye mindset, mie sijafikia huko, ni mtu mzima nilio kwenye "golden age" hilo jukwaa la wazee lifunguwe umpeleke babuyo na bibiyo, usinzeeshe babuwee, bado nnadai, unani weyee, mzee kwani hana? au hujuwi kuwa "old is gold"? Unanchekesha!

Nadhani ungewaeleza tu wana jamvi kuwa wewe ni mzee.
Sio unajikanyaga kuwa wewe uzee wako ni wa dhahabu mara sijui nini.

Ombi:mods mzingatie sana ombi langu.wazee wanasumbua sana.wape jukwaa lao ingawa wengine wanajifanya wana uzee wa dhahabu.
Jukwaa la wazee please.
 
Umekosa hoja inanivaa mimi, hapo ndiyo unapoonesha kuwa ujana wako hauna faida wala maana. Mie ndiyo FF, Golden Age, utaniona hivi hivi, na wenzako wanafunguwa ma nyuzi ya kunipenda huko, au hujayaoja? Unanchekesha!

Tena kuambiwa mzee ni sifa kubwa kwangu, MashAllah, mzee ambae anakugaragaza kijana mpaka unaishiwa hoja unaanza viroja. Unanshangaza!
Sikisii.
 
Back
Top Bottom