we kichwa chako ni kibovu hakuna siku umeongea point , una akiri mbovu kama za nape . we kweli nguluwe
Huna jipya wewe mchafu kuoga.
Soma vizuri, nnasema angeandika Kiswahili, hao wote uliowataja wanatumia lugha zao za Taifa na Mheshimiwa angefanya la maana kutumia Kiswahili kuliko kutumia Kiingereza ambacho hakielewi. Sasa sijuwi wewe unachokipinga ni nini? Unanchekesha!
HIVI NI SIJUWI AU SIJUI??
Nimewahi kuona washamba, lakini wewe ni mshamba[SUP]2[/SUP]. Unapenda sana kushobokea Kiingereza. Si mara ya kwanza nimesoma humu ukilalamikia watu hawajui kiingereza. Kweli wewe ni mtumwa wa lugha. Kwa kujua kwako kiingereza sijui umeshapanda madaraja mangapi (I mean grade etc). Sasa kama unaona wenzako hawajui kiingereza na kwa ushamba wako unaona ni lazima wajue, anzisha English Tuition basi watu waje kujifunza. Miaka 50 ya uhuru tumetoka utumwani kumbe kuna vilaza kama wewe walibakia humo. POLE SHOSTI!!!!
Mtumwa wa lugha ni yule anaeshobokee lugha asiyoijuwa vizuri. Ningemuona wa maana sana angeandika Kiswahili, au nacho hakijuwi?
Hayo unayosema wewe hiyo ndio point yangu, Unanchekesha. Hivi huoni ni nani aliye "ishobokea" lugha ya watu asiyoielewa vizuri?
Nikiandika Kiingereza nna uhakika nacho. Sikisii.
je ulishawahi ishi Marekani kama Sugu!?
nadhani unamskia tu ff, humjuwi. Kuishi usa hakumaanishi kujuwa kuandika kiingereza, kuna wengi sana usa hawajuwi hata kukiongea, labda ndiyo sababu hiyo?
Kikwete anakijuwa Kiingereza huwezi kumkuta hata siku moja kaandika kama huyu mbunge wa magwanda. Au kamsome January, japo na yeye bado kwa kiasi fulani lakini ni bora kwa Kiingereza kuliko huyu kijana, halafu kuongea Kiingereza sio kuandika Kiingereza ni vitu viwili tofauti, kuna hata Waingereza chungu nzima ndio lugha yao mama lakini hawajui kukiandika. Fikiri.
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Ndio maana hatuendelei
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.