Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,967
- 2,147
Ndio maana hatuendelei
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Mkubwa! Kufatilia minor spell error ni kupoteza wkt na ni extravagancy za kb's zako! hatupo hapa kw ku'discus spell error mbona threads zako nyingi naziperuzi zaonesha perfomance yako iko juu, hapa umekuaje?
Kwaaaakwakakwaaaaa, nakusikitia sana kwa kwenda kupekuwa ni dikshenari uchwa, bado hujajuwa, lakini hivyo ndivyo inavyo takiwa ubukuwe na uwe makini.
maada = mada
Hiyo ya "sugun" natambuwa kuwa ni typographical error kwa hiyo sikusahihishi. Unafanya vyema.
ni kweli nilliangalia kwenye kamusi baada ya kuhisi kiingereza chako hakinipi ladha nzuri na hasa ukizingatia mimi ni mdau wa masuala ya typography, nikaona umeboronga lugha ya watu licha ya kuwa hutaki kukubali kushindwa, yawezekana ubishi ni umbile lako kama vile mtu mwenye chongo au kengeza! kwa kifupi TYPOGRAPHY is the art or style of printing, na kwa hivyo typographical error kamwe haiwezi kuwa typing or spelling error! na kuhusu fyongo zako za kiswahili hapo kwenye red, nakushauri umuone Profesa Abdallah Jumbe Safari akupe tiba maridhawa ya lugha yetu ya kiswahili.
Kama kujua kiingereza vizuri kingekuwa ni kigezo cha maendeleo basi Wachina, Wajapani na Wakorea wangekuwa bado wako nyuma kimaendeleo kama ilivyo Somalia, Siera Leone, Chad, Haiti, Tanzania na Msumbuji. Kigezo cha maendeleo ni uwezo wa kuyatawala mazingira kwa kutumia Sayansi na Teknolojia bwana ikiambatana na research and Development!!! Kalagabaho Rejao na dada yako FF.
ooopss! you are wrong again! yaani unanikera bi. mkubwa wewe!
Nashangaa sana watu ambao hawapendi kuuona ukweli wala kuona wengine wanaambiwa ukweli, hivi nyinyi ndiyo wale wapambe? mtu hata kama anakosea mnashindwa kumkosowa?
Sasa hivo alivyoandika Mheshimiwa Sugu kweli mnaona ni sawa kabisa Mheshimiwa atumie neno kama "cant" ambalo kwa lugha ya heshima ya Kiingereza huwa defined as "whining or singsong speech, especially of beggars".
Lakini siwashangai sana mnaoshikilia bango hapa, wengi wenu pengine bado hamjaelewa hata nnachokielezea ni nini?
mkuu nami nimemjibu huyo ff kutokana na alichokosoa kwenye post yake kama ilivyo hapo kwenye bluu, kilichokosekana kwenye "cant" ni just an apostrophe(can't) which i consider a minor error too lakini kaishikia bango mpaka katoa na definition! it was not my intention to consider such a minor error but nilikuwa napita kwenye barabara ile ile anayopita yeye!
Kwani yuko kwenye interview british council.......wewe vipi??by the way kiingereza sio lugha yake ni lugha ya ziada tu.....pia anapowasiliana na wananchi wake anatumia kiingereza au kinyakyusa/kiswahili........? kama huna cha ku comment ni heri umtengenezee mumeo halua
halua = halwa
Kitu unachoshindwa kuelewa hiyo mistake ni kubwa sana kwani "cant" ni neno linalojitegemea.
bibi kizee
Ajuza
Mkongwe wa jamvi
Uliyekula chumvi nyingi na mwenye upumbavu 1st class.
Mwenye kutumia nguvu nyingi kwenye keyboard kuliko kutazama familia yako.
Mwenye chuki na vijana,kipenzi cha wajinga.
Adui wa werevu na wataalamu.
Mwingi wa ubishani kuliko ushindani.
Kupe aliyezeeka.
Ngozi ya kenge!
ni kweli kuwa "cant" ni neno linalojitegemea lakini hiyo haibadilishi ukweli kwamba jamaa alifanya kosa dogo(kwa makusudi au kusahau) kutoweka apostrophe ili iwe "can't", na kwa mtu anaejua English vizuri na pia kutokana na mpangilio wa sentensi ni rahisi kubaini alikuwa anamaanisha "can't" na kwa mbumbumbu au mgeni wa lugha hiyo atapata shida kubaini kama ilivyo kwako wewe!
Na hivi mpaka hapo bado hujaelewa kuwa teknolijia imetupelekea ku type na kuona tunayo ya "type" katika "screen" zetu na tunaweza tuka "print" tuliyo ya "type" tukiwa popote duniani mradi tuwe na mtandao, kompyuta, na "printer". Usiwe finyu wa kimawazo ukajifunga funga kuwa "typography" inaishia katika kiwanda cha kuchapisha tu, typography ya leo unaweza kuifanya popote ulipo, kuna ma printer siku hizi yana print mpaka kwenye keki na chanzo cha hiyo art yote ya printing kwa sasa ni komputa. Uko wapi wewe, funguka.
Hilo ni moja, sasa isome kwa ukamilifu uone. Haina hadhi ya kuandikwa na Mheshimiwa.
Mwanzo tu, kaanza na "I hear" inaonesha ni mtu ambae alikuwa anatafsiri Kiswahili "nnasikia". na lugha hizi zina misamiati yake jamani, msitetee kitu ambacho kinampotezea sifa. Hivi mwanao unaemoenda nyumbani hata akifanya kosa wewe unamwambia ni sawa tu? kama kweli unampenda inabidi umrekebishe asirudie makosa.
Kumbuka huyu ni Mbunge wa Bunge la Tanzania na akiwa kama Mbunge anakuwa ni mwakilishi wa wananchi wote ni si wa "magwanda' tu na mimi kama Mwananchi nna haki ya kumrekebisha Mbunge wetu kwani anatutia aibu tunaonekana wote kama yeye, wakati sivyo, tungejivuna angeandika ujumbe wake kwa Kiswahili tena ukumbuke huo ujumbe walengwa ni Watanzania, hapa sasa mnanikumbusha mswaada mara ya kwana Bungeni, uliwalenga Watanzania ukaambiwa utafsiriwe ukaletwa Kiswahili, na Mheshimiwa Sugu hapa bado ana nafasi ya kuurekebisha huu usemi wale aliyotumia lugha asiyoijuwa vizuri.
maelezo yooote uliyotoa hapo juu ni irrelevant kwa kuwa kamwe hayawezi kubadilisha typographical error kuwa sawa na typing/spelling error! you will always be wrong katika muktadha tunaojadili. Sina shaka na teknolojia uliyoelezea hapo juu na wala sio kitu ninachopinga! najua unataka kunitoa nje ya hoja ya msingi kati yangu mimi na wewe,nitaendelea kukufundisha na kukujuza hadi hapo utakapotambua kuwa "chongo haliwezi kuitwa kengeza"
Ndio maana hatuendelei
Huna hoja? una viroja, mbona hujamalizia? Selebriti JF namba 1.