Gharama gharama tujue maana soko huria hili.Aisee sijui kimekukuta nini ila natumia internet yao hapa ina speed sijawahi kuona. Ikitokea emergency ukiwajulisha wanafika japo sio kwa muda ila wanafika.
Mkuu kuna watu naona wanachimba mitaani wanatandika mabomba. Nilipouliza nikaambiwa wapitisha waya. Hivi ndio hao?Savannah, umeshafanyiwa survey? Ama umelipa tu hata kabla hawajafika nyumbani? Na umelipa no ya kampuni?
Hawa waya zao za orange, ndio kinachojulisha, ila kina tigo/voda na Halotel pia wanasambaza sana fiber mitaaniMkuu kuna watu naona wanachimba mitaani wanatandika mabomba. Nilipouliza nikaambiwa wapitisha waya. Hivi ndio hao?
Acha masihara bwashee, yaani mi nimepigwa halafu ohoooooLipia tangazo mkuu
59,000 na kwa mwezi ndio hiyo bei wamesemaUmelipa kiasi gani na kwa mwezi ni kiasi gani? Ukishasema hayo tutajua kama umeibiwa!
59,000 na kwa mwezi ndio hiyo bei wamesema
Speed eti ni 40 mbps
NdioKwa hiyo umelipa 59,000?
Ndio
Nilikua sijui kama nao wanayo ngoja nifatilie,Unaibiwa, kuwa mvumilivu, fibre ttcl haijafika kwenu? It's cheaper and reliable
Kama unafikia hatua ya kulipa fedha kwenye kampuni ambayo hata jina lake hulijui huoni kuwa wewe ni mjinga? Unalipa fedha bila kufanya utafiti?Wanaitwa sijui safanah sijui vasana yaani naona uchungu hata kutaja jina lao
SavvanahWanaitwa sijui safanah sijui vasana yaani naona uchungu hata kutaja jina lao
Unalipa shilingi ngapi kuunganishwa na kwa mwezi unalipa bei gani kupata unlimited?Aisee sijui kimekukuta nini ila natumia internet yao hapa ina speed sijawahi kuona. Ikitokea emergency ukiwajulisha wanafika japo sio kwa muda ila wanafika.
Unalipa shilingi ngapi kuunganishwa na kwa mwezi unalipa bei gani kupata unlimited?
Vipeperushi baba ndio shidaKama unafikia hatua ya kulipa fedha kwenye kampuni ambayo hata jina lake hulijui huoni kuwa wewe ni mjinga? Unalipa fedha bila kufanya utafiti?
Nipo kariakoo na hata mafundi wao wanaazima ngazi dukani kwangu kwa ajili ya shughuli zao, hawa ni wababaishaji na majizi tu hawana loloteSavanna ni mojawapo ya kampuni zinazofanya vizuri kwa sasa. Tumetumia kampuni kubwa mbili sizitaji ila zinazidiwa na Savanna.
Kama unaishi sehemu ya mbali hata uwaite Zuku, TTCL au nani lazima watachelewa tu. Kutokana na jina la kampuni kutojua hata kuliandika, basi hauko serious na probably unaishi sehemu ngumu kufikika.
Kabla ya kulipia kampuni ya fibre, tazama miundombinu yao kama iko karibu na wewe. Endapo uko mjini kabisa na wote wanakufikia, chukua Savanna.
Ni kawaida ya wabongo kutaka kila kitu kifanye kazi 100% wakati wao wenyewe ni wababaishaji. Mtu umejenga Tandale kwa Tumbo chini ya transformer ya TANESCO wahuni wanachoma chips, unategemea nini umeme usiwe unakata mara kwa mara.