pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
- Thread starter
-
- #41
Hawa ni matapeli tu
Nipo kariakoo centre kabisa,Tatizo mipango miji
Maeneo yenu yenyewe hayajaka
Kimtaaa
Ova
Siku ya inne? 🤣🤣🤣Hawa ni matapeli tu
Leo siku ya inne nimelipia na hawajanisogezea huduma na nipo kariakoo mtaa wa ndanda na tandamti na juu ya gorofa nilipo pana box lao la connection na kila nyenzo ila hawa ni MATAPELI tu
MutanzaniaSiku ya inne? 🤣🤣🤣
Mkuu wewe ni mrundi?
Duh aiseNipo kariakoo centre kabisa,
Ila unajua nini,
Hawa jamaa ni MATAPELI tu
Kwasababu sio mimi tu mbona wateja wengi wanalalamikia sana hawa
Hao majirani zako si wana alternatives? Zitafute usikie kilio.Nipo kariakoo na hata mafundi wao wanaazima ngazi dukani kwangu kwa ajili ya shughuli zao, hawa ni wababaishaji na majizi tu hawana lolote
Jina nimelikosea kwa pengine kuna namna au ni typing error tu
Lakini ni hao hao SAVANNA
Kumbe una siku nne umelipia. Unajua kuna watu walijiabdikisha TTCL fibre tangu mwaka jana mpaka leo hamna?Hawa ni matapeli tu
Leo siku ya inne nimelipia na hawajanisogezea huduma na nipo kariakoo mtaa wa ndanda na tandamti na juu ya gorofa nilipo pana box lao la connection na kila nyenzo ila hawa ni MATAPELI tu