Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina uzoefu na vidhibitisho vyote kuhusu biashara ya mtandaosiyo internet marketing ni network marketing yaan biashara ya mtandao
Mkuu kama mkuu Madono IJ alivyokuambia hapo juu, ni vema ukachunguza kuelewa na kupata picha kabla ya kuingia huko,maana hao jamaa in most cases wanaconvice na kuwaambia watu kuwa mamilionnare na billionare wakati wao wana maisha ya kawaida kabisa. Sawa WANATUAMBIA UNAINGILIA MTAKJI MDOGO ila sasa business yenyewe inahitaji moyo kweli kweli maana.Watanzania na watu wote wenye mapenzi mema na mimi ndugu yako naomba kwa aliyefaidika au anayefanya biashara ya mtandao nijue kampuni gani inafaa kufanywa na mimi mtu wa hali ya chini?
siyo internet marketing ni network marketing yaan biashara ya mtandao