Kampuni nzuri inayofanya network marketing

Kampuni nzuri inayofanya network marketing

TEK

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
184
Reaction score
35
Watanzania na watu wote wenye mapenzi mema na mimi ndugu yako naomba kwa aliyefaidika au anayefanya biashara ya mtandao nijue kampuni gani inafaa kufanywa na mimi mtu wa hali ya chini?
 
Kabla hujaingia huko...umechunguza na kupata elimu kuhusu network marketing??
 
siyo internet marketing ni network marketing yaan biashara ya mtandao
 
Watanzania na watu wote wenye mapenzi mema na mimi ndugu yako naomba kwa aliyefaidika au anayefanya biashara ya mtandao nijue kampuni gani inafaa kufanywa na mimi mtu wa hali ya chini?
Mkuu kama mkuu Madono IJ alivyokuambia hapo juu, ni vema ukachunguza kuelewa na kupata picha kabla ya kuingia huko,maana hao jamaa in most cases wanaconvice na kuwaambia watu kuwa mamilionnare na billionare wakati wao wana maisha ya kawaida kabisa. Sawa WANATUAMBIA UNAINGILIA MTAKJI MDOGO ila sasa business yenyewe inahitaji moyo kweli kweli maana.
 
siyo internet marketing ni network marketing yaan biashara ya mtandao

Thanks kwa marekebisho...lakini jua kwanza undani kuhusu network marketing ndipo uingie na asikushawishi mtu kuingia kwa sababu wengine wanashawishi ili waweze kulipwa zaidi na wanashawish kwa kuonesha mafanikio ya wengine tu bila ya kukuelimisha kuhusu undani wa network marketing na bila kukuambia wao wamefanikiwa kwa kiwango gani....

vinginevyo unaweza ukapoteza muda bure na hata pesa.Ukitaka kujifunza nambie nikupe sites ambazo utajifunza mengi kuhusu network marketing.

Kama una elimu kuhusu network marketing... ALL THE BEST.
 
Back
Top Bottom