Tetesi: Kampuni ya Adidas wanaandaa dili ya bidhaa kwa Klabu ya Simba

Nipenyezewa info kutoka insiders wa kampuni ya adidas kuwa wako wanandaa dili ya merchandise kwa klabu ya simba baada ya kuona wata pata milliage kubwa barani africa.

Hi imekuja baada ya Simba queen na simba sports club kufika mbali kwenye mashindano ya caf na kuwa fanbase wengi kwa sasa.
Pia kilicho ivutia sana sana ni social media za simba kuwa na jammed muda wote

Stay tuned ni mkataba mzito kwa kweli
Wale wengine wakapange 4len mkuranga na tanga kwenye mashamba ya mihogo aka fogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ADIDAS hawezi kusaini deal na mbuzi Hawa, hawana branding nzuri,mhindi pori kahodhi kila kitu anazuia wengine kuelekeza Simba
Hata ukilingsnisha mikataba ya makampuni na mapato ,Young Africa anaingiza pesa mingi kuliko manyonyo
Kibweko kikali sana kutoka kwa mbwa koko
 
Nipenyezewa info kutoka insiders wa kampuni ya adidas kuwa wako wanandaa dili ya merchandise kwa klabu ya simba baada ya kuona wata pata milliage kubwa barani africa.

Hi imekuja baada ya Simba queen na simba sports club kufika mbali kwenye mashindano ya caf na kuwa fanbase wengi kwa sasa.
Pia kilicho ivutia sana sana ni social media za simba kuwa na jammed muda wote

Stay tuned ni mkataba mzito kwa kweli
Hahah zaaa ndaaaniii kabisa afu zikufikie wewe kutoka Adidas? thats a joke
 
Nipenyezewa info kutoka insiders wa kampuni ya adidas kuwa wako wanandaa dili ya merchandise kwa klabu ya simba baada ya kuona wata pata milliage kubwa barani africa.

Hi imekuja baada ya Simba queen na simba sports club kufika mbali kwenye mashindano ya caf na kuwa fanbase wengi kwa sasa.
Pia kilicho ivutia sana sana ni social media za simba kuwa na jammed muda wote

Stay tuned ni mkataba mzito kwa kweli
Na sisi mihogo itakuwaje sasa
 
Tuwe wakweli tu. Hilo halipo na halitakuwepo kwa sasa kutokana na hali ya nchi yetu.
Adidas mara nyingi jersey zao bei kali
 
Back
Top Bottom