Tetesi: Kampuni ya Adidas wanaandaa dili ya bidhaa kwa Klabu ya Simba

Tetesi: Kampuni ya Adidas wanaandaa dili ya bidhaa kwa Klabu ya Simba

Kuna kakikundi kanavaa nguo za njano katalaani kweli hili jambo.
 
Hao sio adidas bali ni wa Tz wenzetu wajanja janja wana tumia fursa maana hata ktk tender iliyo pita umbro South africa waliweka bid ila za chini chini zina dai kuna mwandiahi mmoja wa soka maarufu ndio aliingia deal na umbro waombe bid bahati mbaya wakakosa

Let see hii kama ita tiki
 
Tunaposema Simba Sports Club ni next level, guys we mean it 💪
 
Hao sio adidas bali ni wa Tz wenzetu wajanja janja wana tumia fursa maana hata ktk tender iliyo pita umbro South africa waliweka bid ila za chini chini zina dai kuna mwandiahi mmoja wa soka maarufu ndio aliingia deal na umbro waombe bid bahati mbaya wakakosa

Let see hii kama ita tiki
kwa hiyo UMBRO wakaishia kudhamini NDONDO CUP?
 
Mie toka mwanzo nilishakubali mo apewe kabisa hii timu ila mi anizingatie kunipa furaha tu....
Kabisa kaka, mie mo pale simba haniibii sh 10, kwani nimeweka sh ngapi? Mshabiki yake furaha tu, akivurunda ndio mtiti unapoanzia.
 
Nipenyezewa taarifa kutoka insiders wa kampuni ya Adidas kuwa, wako wanandaa dili ya merchandise kwa klabu ya Simba baada ya kuona watapata milliage kubwa barani Afrika.

Hi imekuja baada ya Simba Queens na Simba Sports Club kufika mbali kwenye mashindano ya CAF na kuwa fanbase wengi kwa sasa.

Pia kilichoivutia sana sana ni social media za simba kuwa na jam muda wote

Stay tuned ni mkataba mzito kwa kweli
JamiiForums685660863.gif
 
Umeweka humu bora ungekaa nalo moyoni Simba mambo yao ni kimya kimya
 
Ndugu zangu mbumbumbu fc wanazungumzia Adidas ya Vigwaza baada ya kupita Mlandizi. Adidas hii inamilikiwa na Mbumbumbu fc mwenzao Anaitwa Kasim Dewji.
Mjerumani Halisi hawezi kuitumia logo ya Adidas Kwa timu inayo pigwa fine za kichawi katika soka la Africa.
 
Umekula lakn ?
 
Back
Top Bottom