Kampuni ya Apple kutouza bidhaa zake Urusi

Kampuni ya Apple kutouza bidhaa zake Urusi

Putin anaendelea kupata mapigo kote, na Warusi wengi ukiingia kwenye mitandao yao wamenza kumchukia na sio muda mrefu watamgeuka hali ikizidi kuwa ngumu.
Dunia iendelee kumpa vikwazo vya kila aina. Pakistan alishasema hatomlipa madeni yake, asusiwe na wote....
Kuna jibu Putin aliwapa nyie wakenya kila nikilikumbuka nacheka sana. Hope na wewe walijua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba mtaishia kufanya nini vile?
 
Hahaha sasa mbona kama Pakistan katafuta upenyo wa kutolipa madeni?
Pakistan alipe deni lake, huo ni ujanja wa kukwepa deni. Kwani vita ya Urusi na Ukraine inahusiana vp na deni analodaiwa?
 
Watu wanaunda missile za kutoka bara hadi bara watashindwa kutengeneza simu,by the way katika hilo Apple ndio wana lose sio Russia.
Hao wanastahili kipigo. Eti wanampigania Allah. Wanadai ni muweza wa kila kitu lakini hajui kupigana mpaka wanampigania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Putin anaendelea kupata mapigo kote, na Warusi wengi ukiingia kwenye mitandao yao wamenza kumchukia na sio muda mrefu watamgeuka hali ikizidi kuwa ngumu.
Dunia iendelee kumpa vikwazo vya kila aina. Pakistan alishasema hatomlipa madeni yake, asusiwe na wote....
Siyo kwa putin deni halikimbiwi kwa 7bu za uchochoroni labda kama hadaiwi na Russia ninayoijua mimi
 
Siyo kwa putin deni halikimbiwi kwa 7bu za uchochoroni labda kama hadaiwi na Russia ninayoijua mimi

Putin kwa sasa hawezi kudirki kuanzisha ugomvi na taifa lingne kubwa kama Pakistan maana mwenyewe yupo kwenye hatari, anatafuta pakutokea, Kiev imeshindikana, Urusi inavurugika kiuchumi, Warusi walio nje na ndani wameanza kuteseka na kumlaumu, muda usio mrefu wataasi.
 
Apple nyambafu sana wakati dunia inashughudia maangamizi Itaq syria Linya na Afghanstan walikua wanaona ni sawa?

Kwa mwenendo huu ni kujitia kitanz kwa kampuni za ulaya na marekani sasa nchi nyingi zitaweka juhudi kwenye kuunda teknolojia zao mbadala ili kuondokana na huu upuuzi
unadhani kuunda teknolojia mbadala ni kama kuchonga kipago cha manati ya kuwindia ndege eti..
 
Back
Top Bottom