Tetesi: Kampuni ya Azam kuanza usafirishaji wa Abiria kwa njia ya Mabasi hivi karibuni

Tetesi: Kampuni ya Azam kuanza usafirishaji wa Abiria kwa njia ya Mabasi hivi karibuni

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Kumekucha. Ni neno pekee utakaloweza kulitumia kwa sasa. Yule mfalme wa biashara zote, Said salim Bakhresa anaingia barabarani rasmi muda sio mrefu.

Anaanza na Dar hadi Arusha, Dar hadi Dodoma na Kigoma hadi Bukoba. Baadae atajitanua taratibu nchi nzima.

Source: Mnyetishaji ndani ya kampuni.

View attachment 3197576
Aingie na Treni na Mwendokasi ufanisi utakua
 
Mimi kama mlipa Kodi nasema hawa walamba asali wapunguze ufujaji na kuhakikisha hizi train / mwendokasi zinakuwa affordable..., watu binafsi waendelee kushindana au wabadilishe biashara wakauze nyanya (whichever will be profitable for them) au wa cater for Premium Customers
 
Back
Top Bottom