Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Morogoro vipiKumekucha. Ni neno pekee utakaloweza kulitumia kwa sasa. Yule mfalme wa biashara zote, Said salim Bakhresa anaingia barabarani rasmi muda sio mrefu.
Anaanza na Dar hadi Arusha, Dar hadi Dodoma na Kigoma hadi Bukoba. Baadae atajitanua taratibu nchi nzima.
Source: Mnyetishaji ndani ya kampuni.
View attachment 3197576