Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Ndivyo majina ya mabasi yatakvyoitwa. Lengo pia ni kutagaza vyombo vyake vya habari. Hadi UFM kuna mabasi yatakuwa na jina hilo.Hayo mabasi ya azam tv mbona
Naona bus la SINEMA ZETU litakavyopendwa na wanawakeπ€£π€£Ndivyo majina ya mabasi yatakvyoitwa. Lengo pia ni kutagaza vyombo vyake vya habari. Hadi UFM kuna mabasi yatakuwa na jina hilo.
ππππ€£π€£ππHaya mabus ni kwa ajiki ya azam tv. Unaleta habari za udaku humu?
Aingie na Treni na Mwendokasi ufanisi utakuaKumekucha. Ni neno pekee utakaloweza kulitumia kwa sasa. Yule mfalme wa biashara zote, Said salim Bakhresa anaingia barabarani rasmi muda sio mrefu.
Anaanza na Dar hadi Arusha, Dar hadi Dodoma na Kigoma hadi Bukoba. Baadae atajitanua taratibu nchi nzima.
Source: Mnyetishaji ndani ya kampuni.
View attachment 3197576
Huyu mzee acheni tu. Sijui kama watamuweza.Ataweza fitna? manake nasikia hiyo biashara ina wenyewe.