Tetesi: Kampuni ya Azam kuanza usafirishaji wa Abiria kwa njia ya Mabasi hivi karibuni

Morogoro vipi
 
Kama ni kweli aanzie mjini na mwendokasi huko mikoani awaachie wakina kimbinyiko bana.
 
Ila bakhressa anashangaza sana kufanya biashara kuanzia hela ndogo, shilingi hamsini na shilingi mia moja
 
Sasa huyu Azam ana sifa.
Sasa sisi akina Kwalimboa Safaris tutaweza kushindana nae kweli?
 
kwa nionavyo mimi sio kweli Azam is a big fish in business ,zipo fursa nyingi tz akiingiza kibunda anapiga mpunga mwingi kuliko hizo za usafirishaji ambazo zinaushindani mkubwa sana.
 
Vipi kuhusu media, ana tv channels nyingi tu, ana redio moja UFM, mbona hana magazeti au kiwanda cha uchapaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…