Kampuni ya Bajaj imetoa toleo jipya la pikipiki aina ya Boxer 125 HD

Kampuni ya Bajaj imetoa toleo jipya la pikipiki aina ya Boxer 125 HD

Kuna watu wana pikipiki za boxer mwaka wa 6 sasa na wanapiga boda boda
Zipo zaidi ya miaka sita lakini changamoto yake ni hiyo ya juu( block)
Pikipiki nyingi za zamani zimebadilishwa hizo (block)
 
Last time kuwa na boxer ni lini mkuu mbona jamaa wanafanya improvement.
Mathalani zile rough road hasa X125 zile bike zina block mbovu sijapata kuona.
Baada ya kuwasema kwenye pages zao wakafanya improvements kwa kuleta toleo jipya almaarufu kijora hizi zenye block na cylinder rangi nyeusi.
And now ndio wamekuja na hili toleo jipya la kijora ambacho hakina paper oil filter hebu tuone zitakuaje.
Kuna jamaa angu ana 125cc Yani ukipanda unaona kabisa haina nguvu seat yake sijui ikoje hata,, ukipanda sinoray 180 upo juu juu inavuta Kama lambo
 
Boxer yangu ndani ya miezi miwili nimebadili bearing za shingo ya steling, mara mbili sijui shida ni nini inaua bearing kiasi hiko
 
Boxer yangu ndani ya miezi miwili nimebadili bearing za shingo ya steling, mara mbili sijui shida ni nini inaua bearing kiasi hiko
una uhakika zimekufa? au fundi kasema tuu

mimi naendesha boxer mwaka wa nne huu tena ni kwenye rough road na haijawahi badilishwa hizo bearing...kinachotokea ni kwamba stealing ikiwa loose inagonga unaweza sema ni bearing kumbe ni kuikaza tu
 
Wadau mimi nimetoka kujifunza pikipiki juzi nataka ninunue mpya niwe bodaboda.
Naomba ushauri wenu ninunue chombo ipi kati ya TVS au BoXer
Tafuta bima ya afya kwanza,halafu ndiyo ununue pikipiki uwe bodaboda.
 
una uhakika zimekufa? au fundi kasema tuu

mimi naendesha boxer mwaka wa nne huu tena ni kwenye rough road na haijawahi badilishwa hizo bearing...kinachotokea ni kwamba stealing ikiwa loose inagonga unaweza sema ni bearing kumbe ni kuikaza tu
Ngoja nikajaribu kuikaza, inakera sana inavogonga,
 
Honda CB 125R siku nikipata soko la uhakika huko japan nitaagiza
1548710377.jpg
 
Back
Top Bottom