Kampuni ya betika ni halali kweli au matapeli?

Betting ni biashara kama zingine usidharau kazi ya mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo alikuwa hana experience ya betting na nahisi alikuwa habet mpira na kama alikuwa ana bet alibet kwa kulipuka ndio maana wanakwambia BETI KISTAARABU
 
Uyo alikuwa hana experience ya betting na nahisi alikuwa habet mpira na kama alikuwa ana bet alibet kwa kulipuka ndio maana wanakwambia BETI KISTAARABU

Maybe you are right out of your own experience!
 
Betting ni biashara kama zingine usidharau kazi ya mtu

Sent using Jamii Forums mobile app

Biashara inayoangaliwa kwa kiasi cha kodi Serikali inayopata lakini sio kwa ujumla wake kwa athari inayoleta kwa Taifa!!
Addiction yake ni sawa na addiction ya madawa ya kulevya kwa vijana!!!
 
Mbona nabetia hii kampuni almost one year sijawahi kukutana na haya mambo japo kuna kipindi hela ina chelewa kutoka ila sio kila siku na wapo faster mkeka uki tick unapata notification
 
nikupe mfano kuna jamaa yangu anashinda kila siku m35 had 40 kwa dau la m5 na kajenga kweri kweri broo hata kwenye maisha ya kawaida matajir wa chache maskn weng pia ujue kwenye kila jambo kuna wa faida na wa hasara....nikikuonesha settle yangu mwanzo nilivyokuwa na lost ungenionea huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…