HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Betting ni biashara kama zingine usidharau kazi ya mtuUjinga wenu kudhania mtatoka kwa michezo ya kamali; hakuna hata siku moja utakuja fanikiwa bila kufanya kazi na eti ukategemea hiyo michezo!!! Utapewa tamaa tu kuwa siku moja utakuja pata JACKPOT na hiyo siku haitakuja kamwe!!! Zinduka acha ujinga wa kuwatajirisha matapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app