Kampuni ya Boeing imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F, Magufuli atajwa

Mtuwekee japo kapicha ka hiyo ndege, maana story mingi bila picha ni sawasawa na mishikaki iliyokosa kachumbari.
 
Kushikilia vitu kila cku ambavyo havina mantiki ni ujinga tu!! Jina litajwe au lisitajwe hakuna kitachobalika!! Ng'wizukulu jilala wazobaga sana!!!
Kuwa na heshima basi. Bila yeye miaka yote huko nyuma mlishawahi kufikiria au kufanya maamuzi magumu ya kununua hata njiwa au hata jogoo ili shilika la ndege la taifa liwe na ndege wake.
 
Kuwa na heshima basi. Bila yeye miaka yote huko nyuma mlishawahi kufikiria au kufanya maamuzi magumu ya kununua hata njiwa au hata jogoo ili shilika la ndege la taifa liwe na ndege wake.
Acha ujinga wewe!! Kipind cha JKN itakua ulikua nyanzenda huko unatokwa kamasi tuu!! Watu wengine mnadandia mambo ambayo yapo nje ya uelewa wenu!!!
 
Ndo ile bei ya 10% yake ilizidi bei ya kampuni ya kuunda ndege
 
Atwaja ili?
 
Vikundi vya hamasa havikuwepo uwanjani hapo?
 
Hili ni onyo. Maana mmezoea upumbavu na upuuzi.

Linakwemda kubeba minofu ya samaki, nyama ya mbuzi na mazao ya holticuture.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…