Kampuni ya Boeing imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F, Magufuli atajwa

Yaani sijui unashida gani, yaani mpaka leo bado unaomboleza kifo cha mungu wako, Sukuma gang jaribuni kukubali matokeo
 
🤣🤣🤣🤣hv tumefika mahali tunapambania kutajwa tu?

Miaka Ile hata radi ikipiga tunamshukuru kwa kuzuia isidhuru🤣
 
Baadae zito atasema magufuli alinunua ndege ya mtumba
 
Kuwa na heshima basi. Bila yeye miaka yote huko nyuma mlishawahi kufikiria au kufanya maamuzi magumu ya kununua hata njiwa au hata jogoo ili shilika la ndege la taifa liwe na ndege wake.
Duh, wafuasi wa Jiwe ni bure kabisa. Eti shilika la ndege. Ndiyo maana alikuwa anawaita Wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…