Kampuni ya China CCECC kukabidhiwa kuendesha Reli ya TAZARA kwa miaka 30

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Mamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC), kwaajili ya kusimamia na kuendesha reli hiyo kwa Kipindi cha Miaka 30.

Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) inayomilikiwa na serikali ya China, inatarajiwa kuifanyia ukarabati na kuendesha reli ya TAZARA kupitia uwekezaji wenye thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na itapewa mkataba wa miaka 30.

Katika taarifa iliyotolewa Desemba 24, 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa TAZARA, Bw. Bruno Ching’andu amesema “Mpango wa kuifufua TAZARA, ambao ulizinduliwa rasmi Novemba 2025, sasa umeingia hatua ya utekelezaji. Mshirika wetu ameanza kuhamasisha vifaa, timu za wataalamu na msaada wa kiusalama ili kuruhusu kazi uza ukarabati kuanza.”

===== For English Audience ====

The Tanzania-Zambia Railway Authority (Tazara) said its long-awaited revitalisation programme has entered an active stage following the mobilisation of equipment, technical personnel and other resources by its partner, China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC).

The state-run CCECC) is set to revitalise the Tazara through a $1.4 billion investment for rehabilitation and operations, securing a 30-year concession to run the key trade route connecting Zambia's copper belt to Dar es Salaam port.

In a statement issued on Wednesday, Tazara Managing Director and Chief Executive Officer, Mr Bruno Ching andu, said the move marked a critical transition from planning to implementation, laying the groundwork for phased rehabilitation of the ageing railway infrastructure.

"The revitalisation programme, which was officially launched in November 2025, has now moved into its active stage," Mr Ching'andu said. "Our partner has commenced the mobilisation of equipment, technical teams and logistical support to enable rehabilitation works to proceed."

SOURCE: THE CITIZEN
 
Katika taarifa iliyotolewa Desemba 24, 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa TAZARA, Bw. Bruno Ching’andu amesema “Mpango wa kuifufua TAZARA, ambao ulizinduliwa rasmi Novemba 2025, sasa umeingia hatua ya utekelezaji. Mshirika wetu ameanza kuhamasisha vifaa, timu za wataalamu na msaada wa kiusalama ili kuruhusu kazi za ukarabati kuanza.”
Mambo ya aibu sana yaani tulikabidhiwa reli mpya kabisa tumeshindwa kuisimamia hata miaka 50 haijatobooa..
Serikali ya china kuichukua reli hiyo kupitia kampuni yake ni namna ya kuonyesha ujinga tulionao hatubebeki waafrica. Tunachojua ni kuchekecha kwa ajili ya 10 percent basiii vingine ni kama havituhusu.
 
Mamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC), kwaajili ya kusimamia na kuendesha reli hiyo kwa Kipindi cha Miaka 30.

Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) inayomilikiwa na serikali ya China, inatarajiwa kuifanyia ukarabati na kuendesha reli ya TAZARA kupitia uwekezaji wenye thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na itapewa mkataba wa miaka 30.

Katika taarifa iliyotolewa Desemba 24, 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa TAZARA, Bw. Bruno Ching’andu amesema “Mpango wa kuifufua TAZARA, ambao ulizinduliwa rasmi Novemba 2025, sasa umeingia hatua ya utekelezaji. Mshirika wetu ameanza kuhamasisha vifaa, timu za wataalamu na msaada wa kiusalama ili kuruhusu kazi uza ukarabati kuanza.”

===== For English Audience ====

The Tanzania-Zambia Railway Authority (Tazara) said its long-awaited revitalisation programme has entered an active stage following the mobilisation of equipment, technical personnel and other resources by its partner, China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC).

The state-run CCECC) is set to revitalise the Tazara through a $1.4 billion investment for rehabilitation and operations, securing a 30-year concession to run the key trade route connecting Zambia's copper belt to Dar es Salaam port.

In a statement issued on Wednesday, Tazara Managing Director and Chief Executive Officer, Mr Bruno Ching andu, said the move marked a critical transition from planning to implementation, laying the groundwork for phased rehabilitation of the ageing railway infrastructure.

"The revitalisation programme, which was officially launched in November 2025, has now moved into its active stage," Mr Ching'andu said. "Our partner has commenced the mobilisation of equipment, technical teams and logistical support to enable rehabilitation works to proceed."

SOURCE: THE CITIZEN
Umasikini ni mbaya sana. Trilioni 3.7 ni thamani yote ya uwekezaji kwa miaka yote 30 au kila mwaka tutapata trilioni 3?
 
Mambo ya ajabu kweli 3Trilion ndo miaka 30 jaman
umepiga mahesabu ya Thamanj ya importation na Exportation nchi itakayoingiza kwa kila mwaka?,maana yake hapo usafirishaji wa bidhaa kutoka kwenye bandari za Tnzania kwenda Zambia au Zambia kwenda Tanzania utakuwa wa haraka na wa kiwango kukubwa na hivyo kipato kuongezeka..Kwa mfano kwa siku tulikuwa tunaimport Metric tonne 10000 za Copper kutoka Ndola na Kapirimposhi maboresho yakaja kufanya tusafirishe Metric Tonne 200,000 huoni ni ushindi kwetu?!

Hapo focus ya serikali ni mapato ya kodi tu
 
Mamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC), kwaajili ya kusimamia na kuendesha reli hiyo kwa Kipindi cha Miaka 30.

Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) inayomilikiwa na serikali ya China, inatarajiwa kuifanyia ukarabati na kuendesha reli ya TAZARA kupitia uwekezaji wenye thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na itapewa mkataba wa miaka 30.

Katika taarifa iliyotolewa Desemba 24, 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa TAZARA, Bw. Bruno Ching’andu amesema “Mpango wa kuifufua TAZARA, ambao ulizinduliwa rasmi Novemba 2025, sasa umeingia hatua ya utekelezaji. Mshirika wetu ameanza kuhamasisha vifaa, timu za wataalamu na msaada wa kiusalama ili kuruhusu kazi uza ukarabati kuanza.”

===== For English Audience ====

The Tanzania-Zambia Railway Authority (Tazara) said its long-awaited revitalisation programme has entered an active stage following the mobilisation of equipment, technical personnel and other resources by its partner, China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC).

The state-run CCECC) is set to revitalise the Tazara through a $1.4 billion investment for rehabilitation and operations, securing a 30-year concession to run the key trade route connecting Zambia's copper belt to Dar es Salaam port.

In a statement issued on Wednesday, Tazara Managing Director and Chief Executive Officer, Mr Bruno Ching andu, said the move marked a critical transition from planning to implementation, laying the groundwork for phased rehabilitation of the ageing railway infrastructure.

"The revitalisation programme, which was officially launched in November 2025, has now moved into its active stage," Mr Ching'andu said. "Our partner has commenced the mobilisation of equipment, technical teams and logistical support to enable rehabilitation works to proceed."

SOURCE: THE CITIZEN
Bora wachina kuliko waarabu
 
Kuna mabehewa na engine havitumiki tena China na hawana pa kuvitupa, Hi yo vitaletwa huku na tutapigwa bei ya kufa mtu😭😭😭😭
 
Funzo kwa SGR na MGR reli ya kati. Je taifa limejipanga vipi reli hizi zisikumbwe na upetevu wa uendeshaji wa shirika la reli unaloikabili TAZARA hadi kuita mwendeshaji mgeni baada ya miaka 50 ya kufeli kuendeshwa na wamatumbi ?

View: https://m.youtube.com/watch?v=xGpAJwFJ7Ag

24 December 2025
Press Release: CCECC to Invest USD 1.4 Billion in TAZARA for Revitalisation

CONSTRUCTION%20WORKERS.jpg

The Managing Director and CEO of the Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA), Eng. Bruno Ching’andu, announced at the Zambia International Mining and Energy Conference (ZIMEC 2025) in Kitwe, Zambia, that the China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) will invest over USD 1.4 billion in TAZARA to revitalize the railway infrastructure and operations.

Eng. Ching’andu made this announcement in a presentation to a gathering of investors and industry experts at ZIMEC 2025, including key stakeholders from the mining and logistics sectors, who are TAZARA’s primary customers.

Eng. Ching’andu shared that although the negotiations were still ongoing, he was happy to disclose that the investment will be executed under a 30-year concession arrangement, marking a significant step toward transforming TAZARA into a more efficient and reliable transport corridor. This partnership is expected to address the railway’s declining performance and restore its operational efficiency.

Key Investments

Under the terms of the proposed agreement, CCECC will undertake the following key investments:

  • USD 1.0 billion – For full rehabilitation of TAZARA’s railway track infrastructure, enhancing safety, efficiency, and capacity.
  • USD 0.4 billion – For procurement of 32 brand-new locomotives and 762 new wagons, significantly increasing freight and passenger transport capacity.
  • Periodic major overhauls, alongside continuous maintenance, will be conducted throughout the concession period to ensure long-term continuity and sustainability.
Concession Structure:

  • The 30-year concession period will be structured as follows:
  • First 3 years – Dedicated to construction and rehabilitation.
  • Remaining 27 years – Full operational management to ensure long-term sustainability.
Strategic Importance of the Concession

Eng. Ching’andu, who pointed out that the negotiations were almost concluded, explained that the decision to grant a concession follows an in-depth evaluation of TAZARA’s challenges over the years, which necessitated urgent intervention. The Public-Private Partnership (PPP) model was chosen after extensive due diligence to ensure alignment with TAZARA’s long-term vision and the interests of its shareholders.

As the concessionaire, CCECC will focus on:

  • Immediate rehabilitation of the railway track and supply of rolling stock to establish a strong foundation for success.
  • Covering operational costs through concession fees payable to TAZARA.
  • Efficiently maintaining and operating the railway system while ensuring uninterrupted service delivery.
  • Handing back fully rehabilitated assets at the end of the concession period.
A New Era for TAZARA

Eng. Bruno Ching’andu emphasized the significance of this milestone:

“This concession will mark the beginning of a new era for TAZARA. The investment from CCECC will not only restore our railway infrastructure but also position TAZARA as a key enabler of trade and economic growth between Tanzania and Zambia. Through this strategic partnership, we are ensuring that TAZARA remains a competitive and sustainable transport solution for the region.”

TAZARA remains committed to collaborating with all stakeholders to ensure a smooth transition and the successful implementation of this revitalization project. This initiative is expected to enhance regional trade, reduce transportation costs, and improve connectivity across the Dar es Salaam corridor
 
TAZARA Marks Festive Season As Revitalisation Works Move Into Active Phase​

Chingandu%20Photo.jpg

The Tanzania–Zambia Railway Authority (TAZARA) has reaffirmed its commitment to restoring safe, reliable, and efficient railway services as the Authority enters the Christmas and New Year period, with the ongoing revitalisation programme now moving into an active implementation phase.

In a year-end statement, TAZARA Managing Director and Chief Executive Officer, Eng. Bruno Ching’andu, acknowledged the operational challenges experienced during the year, while highlighting tangible progress made towards the rehabilitation of the railway.

“This has been a difficult year operationally, marked by infrastructure limitations and rolling-stock constraints that affected service reliability. We acknowledge the inconvenience caused to our passengers, freight customers, and the communities we serve,” Eng. Ching’andu said.

He noted that the revitalisation of the railway has moved beyond the planning stage and is now underway, following the mobilisation of technical resources by TAZARA’s strategic partner, China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC).

Eng. Ching’andu further revealed that following the official launch of the TAZARA revitalisation programme in November 2025, CCECC has commenced the mobilisation of equipment, technical personnel, and supporting resources in preparation for phased rehabilitation works along the railway corridor.

“Engineering teams are currently on the ground undertaking detailed infrastructure audits of the line. These assessments are focused on determining the condition of the track, bridges, culverts, signalling, and related assets, in order to prioritise rehabilitation works based on safety, operational impact, and long-term sustainability,” he said.

Eng. Ching’andu emphasised that the revitalisation process will be implemented in phases, and that improvements will be progressive rather than instantaneous.

“While the transformation will not happen overnight, the programme will deliver steady and measurable improvements in safety, reliability, and operational predictability. Temporary service adjustments may still occur as rehabilitation works advance,” he added.

The Managing Director paid tribute to employees for their resilience and professionalism during a challenging period, and thanked customers and the general public for their patience and continued support.

“Our staff have demonstrated exceptional commitment under difficult circumstances, and our customers have shown understanding as we navigate this transition. Their continued support remains vital as we rebuild the railway,” Eng. Ching’andu said.

Looking ahead to the New Year, he expressed confidence that the ongoing revitalisation programme will restore the railway’s role as a dependable regional transport backbone supporting passenger movement, freight logistics, and regional economic integration.

The Authority wished its employees, customers, stakeholders, and the public a peaceful Christmas and a prosperous New Year.

ISSUED BY:
Conrad K. Simuchile
Head – Public Relations
TAZARA
 
Tazara tu mnalalamika je! Heche aliyetaka Nchi isimamiwe na taasisi za kimataifa?
 
Back
Top Bottom